BM-40 OPERATOR
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 153
- 56
Hakuna Kabila lenye laana nduguAnijibu kwanza kabila hiyo njemba ( shemeji yake na Msela) isije kuwa katoka makabila yenye Laana .
huyu shemeji wa jamaa ni mtu wa mndali haya makabila madogo madogo ya huku mbeya....Huyo Shemeji yake Ni Kabila gani kwanza?
mimi ni mwanaume..........usichanganyikiwe na hiyo picha mkuu........na nipo single bado nina fight na hili life kakaNa wewe jnsia ipi?
uko single?
Kuna makabila ya watu wana ujinga Sana kwa watu wengine au makabila mengine generally nawaonaga kama vile wamelaaniwa Kwan unaweza kukuta tabia ya hyu Ni sawa na Yule, Shenzi kabisa watu WA namna hyo.Hakuna Kabila lenye laana ndugu
unakosea jamaa Maisha hayako hvo kuwa na staraKwani huyo shemeji yake alitoa mahari ya mtu na dada yake ama alimposa mmoja?
huyu rafiki yangu ni mpogoro mtu mwa moro town...Kwa wazazi wake ni wapi..? Huoni kama ukimruhusu aje akae hapo kwako utajipa majukumu yasiyo yako...
unakosea jamaa Maisha hayako hvo kuwa na stara
wale wale vitogho vitogho mbwembwe nyingi . Hyo Fara awe makini Sana na mambo ya kesho Mungu Baba akimjalia jamaa atapata kazi na ataanza Maisha yake watoto wake kwa mjomba wao(Shemeji yake) wataendaje sasa Tatizo la tukabila twa nje ya Nchi tulityoongia tz kinyemela bana Nimejisikia vibaya maana ilishanitokea but Mwisho WA siku nkawa mshindi aibu gani kwa maadui zangu Ni Kweli Mungu yupo.huyu shemeji wa jamaa ni mtu wa mndali haya makabila madogo madogo ya huku mbeya....
pole sana mkuu kama na wewe haya yote yalikukuta kaka mkubwa.......wale wale vitogho vitogho mbwembwe nyingi . Hyo Fara awe makini Sana na mambo ya kesho Mungu Baba akimjalia jamaa atapata kazi na ataanza Maisha yake watoto wake kwa mjomba wao(Shemeji yake) wataendaje sasa Tatizo la tukabila twa nje ya Nchi tulityoongia tz kinyemela bana Nimejisikia vibaya maana ilishanitokea but Mwisho WA siku nkawa mshindi aibu gani kwa maadui zangu Ni Kweli Mungu yupo.
Ahsante Sana Mkuu, Maisha ya Binadam anapanga Mungu sio Binadam wenzetu .pole sana mkuu kama na wewe haya yote yalikukuta kaka mkubwa.......