Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili,
Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi.
baada ya kupita lisaa moja alirudishwa akiwa hoi na watu wakimzomea nilipotaka kujua amepatwa na nini.!!!nikaambiwa kafumaniwa na mume wa mtu !!!na waliomchakaza hivyo ni wanawake wenzake.
niliishiwa nguvu nikaamua nimpeleke hospital kusema ukweli nimekaa nimeshindwa kupata ufumbuzi naombeni ushauli wenu huyu mwanamke niendelee kuishi nae au nimpe talaka?
Jamani jamani na sie wanawake ni shida.Yani badala ya kusheherekea na mumeo unamuacha unaenda kuzini.Aiseee huyo mwanamke mpe tu talaka na kuugua aende akaugulie kwao sio kwa aibu hizo alizokutia.
Kama unaweza kusahau, na amejutia sio issue, msamehe muendelee.
Binafsi mke akijaribu kuniua na ikashindikana, naweza kusikiliza sababu zake na kumsamehe pengine kama zina msingi. Ila kamwe siwezi kusamehe sababu za kuwa cheated.
Kosa moja haliachi mke wewe acha ujinga, wala hakuna mkamilifu inawezekana wewe mwenyewe una michepuko kibao ila hujakamatwa tu, we msamehe mwendelee na maisha
mkuu, hii unanikumbusha ile stori ya jamaa mida ya jioni yupo na mkewe chumbani washamaliza kustarehe mida ya jioni, Mme anamwambia mkewe anaenda toileti Mara moja make anakubali, but mda kidogo make anaskia kelele nje " mbakaji kamata huyoo" , mke anatoka nje anamkuta mmewe anakimbizwa