yamenikuta nifanyeje??

yamenikuta nifanyeje??

Shukuru mungu amekukutanisha na mama,ww joto lote hili na kampen zote huon uzito wa kubeba sweta?,change ni ww na mama
 
wakuu ninaishi nyumba ya kupanga na ajabu vituko vya maisha vimekuwa haiishi kunitokea

nyumba ninayoishi nimekuwa nikimfuma mara kwa mara mama mwenye nyumba akinichungulia bafuni nikiwa naoga na yeye amekuwa akikaa vibaya makusudi kila akiniona.

kuna siku nimeenda kumpa kodi akanikaribisha sebuleni kuingia nikamkuta uchi wa nyama huyu haishi na watoto isipokuwa mumewe tu ambae hushinda kazini.
kubwa kuliko leo nimerudi nimemkuta chumbani kwangu kajitandaza uchii kitandani anasema eti ameipenda SHIBALO YANGU YA MKONO SWETA ameshindwa kuvumilia nimeamua kukimbia tu wakuu nisaidieni ushauri nifanyeje???

Tafuna tu mkuu au haisimami?
 
Mweeeeeeeeh!!!! Tafuna ila angalia na wewe wasikutafune mashababi...
 
wakuu ninaishi nyumba ya kupanga na ajabu vituko vya maisha vimekuwa haiishi kunitokea

nyumba ninayoishi nimekuwa nikimfuma mara kwa mara mama mwenye nyumba akinichungulia bafuni nikiwa naoga na yeye amekuwa akikaa vibaya makusudi kila akiniona.

kuna siku nimeenda kumpa kodi akanikaribisha sebuleni kuingia nikamkuta uchi wa nyama huyu haishi na watoto isipokuwa mumewe tu ambae hushinda kazini.
kubwa kuliko leo nimerudi nimemkuta chumbani kwangu kajitandaza uchii kitandani anasema eti ameipenda SHIBALO YANGU YA MKONO SWETA ameshindwa kuvumilia nimeamua kukimbia tu wakuu nisaidieni ushauri nifanyeje???

Alaaniwe alalaye na mamaye
 
Haya ndio madhara ya ugali wa bure...unakufanya upungukiwe na uwezo wa kufikiri...Mwisho utaomba ushauri jinsi ya kumt.o.mba kuwa utumie style gani....Remember Mke wa Mtu ni SUMU..
 
Shukuru mungu amekukutanisha na mama,ww joto lote hili na kampen zote huon uzito wa kubeba sweta?,change ni ww na mama

Sweta ndo mpango mzma nikilitoa madem wanadata
 
Haya ndio madhara ya ugali wa bure...unakufanya upungukiwe na uwezo wa kufikiri...Mwisho utaomba ushauri jinsi ya kumt.o.mba kuwa utumie style gani....Remember Mke wa Mtu ni SUMU..

Sasa ugali wa bure anashiba nani
 
Back
Top Bottom