yamenikuta nifanyeje??

yamenikuta nifanyeje??

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
wakuu ninaishi nyumba ya kupanga na ajabu vituko vya maisha vimekuwa haiishi kunitokea

nyumba ninayoishi nimekuwa nikimfuma mara kwa mara mama mwenye nyumba akinichungulia bafuni nikiwa naoga na yeye amekuwa akikaa vibaya makusudi kila akiniona.

kuna siku nimeenda kumpa kodi akanikaribisha sebuleni kuingia nikamkuta uchi wa nyama huyu haishi na watoto isipokuwa mumewe tu ambae hushinda kazini.
kubwa kuliko leo nimerudi nimemkuta chumbani kwangu kajitandaza uchii kitandani anasema eti ameipenda SHIBALO YANGU YA MKONO SWETA ameshindwa kuvumilia nimeamua kukimbia tu wakuu nisaidieni ushauri nifanyeje???
 
leo nimeenda kumpa kodi akanikaribisha sebuleni kuingia nikamkuta uchi wa nyama huyu haishi na watoto isipokuwa mumewe tu ambae hushinda kazini.
kubwa kuliko leo nimerudi nimemkuta chumbani kwangu kajitandaza uchii kitandani anasema eti ameipenda SHIBALO YANGU YA MKONO SWETA ameshindwa kuvumilia nimeamua kukimbia tu wakuu nisaidieni ushauri nifanyeje???

Dawa ni kuitoa hiyo shibalo yako ya mkono wa sweta; hatakupenda tena.
 
Hama hiyo nyumba haraka sana, ama sivo utaumbuka siku moja, kama kafikia hatua hiyo je ukimkuta ndani na akakung'ang'ania kuwa usipo mpa atapiga kelele kuwa unataka kumbaka itakuwaje? Amua moja au nawe umeanza kumtamani nini? Make ulivyoandika kama unaona sawa tu yeye kukukalia uchi mara kwa mara... Hama hiyo ndiyo tabia yake
 
Jenga nyumba yako hutakutwa na tabu zote hizo...
 
wakuu ninaishi nyumba ya kupanga na ajabu vituko vya maisha vimekuwa haiishi kunitokea

nyumba ninayoishi nimekuwa nikimfuma mara kwa mara mama mwenye nyumba akinichungulia bafuni nikiwa naoga na yeye amekuwa akikaa vibaya makusudi kila akiniona.

kuna siku nimeenda kumpa kodi akanikaribisha sebuleni kuingia nikamkuta uchi wa nyama huyu haishi na watoto isipokuwa mumewe tu ambae hushinda kazini.
kubwa kuliko leo nimerudi nimemkuta chumbani kwangu kajitandaza uchii kitandani anasema eti ameipenda SHIBALO YANGU YA MKONO SWETA ameshindwa kuvumilia nimeamua kukimbia tu wakuu nisaidieni ushauri nifanyeje???

mimi mtu akiwa ananiomba ushauri ktk jambo lolote lile linalohusiana na kuanzisha mahusiano yasiyo halali na mke wa mtu,humuambia bila kumung'unya maneno hakufai na acha kujenga mazingira yanayokuingiza ktk mtego,umeshasema huyo ni mke wa mtu,means ana mwenyewe hivyo inakupasa kuchunga tamaa mbaya ili kuepuka madhara au dhahma inayoweza kukukumba ikiwa mwenye mke atagundua kuwa umetembea na mkewe.
 
Back
Top Bottom