#Wooo0000z@aaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika swhwm husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 mbona sijaona tatizo hapoKwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika swhwm husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea naitiwa kitu cha maana kumbe n huo ujinga![emoji23][emoji23][emoji23] mbona sijaona tatizo hapo
usikate tamaa mkuu,nafasi bado ipo ,huenda akakuita siku nyngn😎
Hata sitaki tena,kwanza salamu zao jioni wanaamkiana gud morning!! Najua hata hapa wapo[emoji23][emoji23][emoji23]usikate tamaa mkuu,nafasi bado ipo ,huenda akakuita siku nyngn[emoji41]
Ahahaahaaaaaa....! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Umenikomoa tu hapo kwenye “uzi tayari”Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika sehemu husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda,au ndo style mpya ya kukomoana?.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa yaani mimi hata kama niko nae room akianza kunihubiria tu huo ujinga dushe linalala navaa nguo zangu naondoka tuCtakagi kusikia huo upuuzi,wanataja dollar kama nyanya vile! Akat nikiwaangalia wamepauka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app