Yamenikuta mwenye no sim ya pcb msaada

ADK

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
2,191
804
JIRANI YANGU AMENUNUA BAISKEL INAYOSEMEKANA NI YA WIZI .MWIZI AMEKAMATWA YUKO O/BAY BAADA YA KUMINYWA AKAMTAJA ALIEMUUZIA WAKAMKAMATA USIKU WAJANA WAKAMWEKA KITUO KIDOGO CHA MIKOCHENI .KTK HANGAIKA YANGU YA KUMNASUA JIRANI ,TUKAKUBALIANA BASKFLI ILETWE ILI MAMBO YAISHE.CHAKUSHANGAZA BAADA YA BASKEL KULETWA MWENYE MALI AKATAKIWA ATOE 50000 NA JIRANI YANGU AKATAKIWA ATOE 50000 la sivyo wanampeleka o/bay na ni kweli wamempeleka
sasa ombi langu wadau ni hili, nimeona kuna mazingira ya rushwa ninaonba kwa wenye kujua namba za sim za maafisa wa pcb au ofis zilipo naomba mnijuze
 
Napita tu, maana hao unaotafuta watataka kiasi kama hicho...watakudai mafuta ya gari, voucher za simu, makaratasi pamoja na usumbufu wa wewe kutakiwa ukathibitishe polisi ambapo nao watakunanga
 
Pia PCCB wana ofisi Magomeni Mapipa nyuma ya kituo cha mabasi yaendayo Ubungo.
 
Back
Top Bottom