Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
- Thread starter
-
- #41
hahaha kibubu watoto hawachelewi kukimeng'enyua kisa wanatafuta sh 50 za aiskrimu
Ukiweka kwenye Godoro itakula kwako noti hazina ubora wiki tu ndani ya godoro utatoa vipandevipande na Kama ni coins utazitoa Zina kutu mbaya nilikuwa na utamaduni wa kuweka vijichange nilivyokuwa narudi navyo jioni natupia kwenye kibubu Loh! siku niliyotoa aibu tubu coins zimeoza!!!!pole, nilikuwa na mpango wa kwenda kufungua akaunti hapo nimeahirisha. Acha hela zangu ziendelee kukaa chini ya godoro,hakuna withdrawal charges!
customer care, kama watz hawasimamiwi na wazungu, nitajie wapi utapata ya kukuridhisha, watz wenyewe tunaangushana kishenzi, una ishu ya maana jamaa wanakuangalia tu km huongei kitu cha maan vile, na wengine ukijaribu kuonesha msisitizo ili 'uhurumiwe' anakupiga chini na kumsikiliza mwigine, ukiambiwa 'subiri' bora uende ukasubiriw home ukirudi kesho ndo atakupa jibu
wanataka uwafahamishe wapi umepata mabilion kwa muda mfupi hivi.
pole sana .. inawezekana kabisa kuishitaki .watanzania sijui kwa nini tunaendekeza uzembe makazini au tuuite wizi sijui
Mkuu,
Hamia CRDB baada ya hiyo a/c kufunguliwa!
Makalio bar?iko wapi?Mx
Njoo Equity bank
Yeye sio mchaga.