Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Mkuu,
Hamia CRDB baada ya hiyo a/c kufunguliwa!
Hujamsaidia katika tatizo alilonalo.
Wataalamu watakusaidia soon.
pole sana .. Inawezekana kabisa kuishitaki .watanzania sijui kwa nini tunaendekeza uzembe makazini au tuuite wizi sijui
hujamsaidia katika tatizo alilonalo.
Wataalamu watakusaidia soon.
terms and conditions unazifahamu lakini au uli-sign tu? Unasema hujawahi withdraw kwa miezi 6 labda ndio tatizo
nenda moja kwa head office, matawini watakuyeyusha aisee
Kweli aisee..Exim kipindi kile walikuwa wanasema ili ujiunge lazima uwe mfanyakazi au mwanafunzi (kama sio mhindii nafkiri), nenda exim tower watakusaidia ila fidia ya usumbufu inji hii sijuii..ni wajibu wao kunialartna kunijuza hizo terms zao ukifika pale lets say ni mtu wa elim ta kawaida tu unakuta liform limeandikwa madubwana ya ajabu ajabu, unaambiwa ucopy na kupaste yes no na blablabla,,kama umekusanya hela zako za viazi mbatata huko unajiwekea tu mwisho wa siku ndo ujinga huu!Kwan sim email na adress zetu wanachukuaga za nini?kwaninihawakuninotfy?
pole, nilikuwa na mpango wa kwenda kufungua akaunti hapo nimeahirisha. Acha hela zangu ziendelee kukaa chini ya godoro,hakuna withdrawal charges!
mimi naona ni uwizi huo wa mchana pili, they real donno what they're doing. Ukiwa na tatizo kama hilo normally you should refer to your branch then if not you can take the issue up. Usinyamaze bwana, its shame customer service they do no have answer for this, just guess work!
Yap,CRDB ndo maneno yote mkuu.Mkuu,
Hamia CRDB baada ya hiyo a/c kufunguliwa!