Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

Hana mapenzi ya dhati huyo,upendo wa kweli unavumilia sasa miezi miwili tu ameona ni siku nyingi sana.Hiyo ni njia ya kumpata anayefaa kuwa chaguo lako.Kuhusu zawadi una watu wako wanaotambua umuhimu wako wape hao.
 
Duuh kweli huyo hakuwa mvumilivu.. 2 months are nothing to me .. Dear furahi kwa truth aliyokupa otherwise ungeteseka .. To me I feel like she was with that person during mkiwa together but she didn't tell you or may be the new guy alikuwa akimfuatilia huyo Dada for so long so for you to be away for 2 months kumemfanya amkubalie Huyo kaka.. There is no way a woman to start a new relationship for 2 months while ulikuwa na mnayependana kwa dhati for almost 2 years, I don't know may be .. Move on forget about her she will soon come back to you Ba kukuomba msamaha because not all men wanaosema I love you , are meant from their heart.. Na akirudi never take her back why? Because she will never be faithful to you.. Kama alishindwa kuvumilia 2 months , do you think ataweza kuvumilia till death do both of you a part, I doubt it.. Thanks..
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa, miezi miwili iliyopita ofisini nilibaatika kupata nafasi ya kwenda ughaibuni kufanya short course training.

Nakumbuka kipindi naondoka alinisindikiza mpaka airport na aliniaga kwa unyonge sana akasema miez miwili ni mda mrefu sana kuishi maisha ya upweke bila mimi mana alikua ameshanizoea sana.

Nlivyofika ughaibuni nlikua nampigia simu mara mojamoja kwasabu sikuweza kupata simcard ya kule hivyo nlikua naroam kitu ambacho ni expensive kidogo lakin mwenzangu hakuwa anaridhika sana alipenda nimpigie simu maranyingi kuliko kuwasiliana kwa watssap japo nlishamueleza kwanini huwa napiga mara chache

Nimerudi juz na alikuja kunipokea lakin sikuona zile bashasha nlizozoea kwake kwasabu akiwa amenimiss tukionana huwa kumbatio linakua kwa dakika kama kumi ivi lakini siku hyo haikuzidi dakika moja asee na alikua amepooza flan ivi nlijaribu kumdadisi lakin aliishia kusema kwamba yupo kawaida yani yuko poa

Jana asubuhi naamka nakutana na hii text kwenye simu yangu,

" thank u 4 evrthng briz, n um rlly sorry. Something came in,things goes too fast, Napenda kua mkweli imetokea nimempenda mtu mwingine! Am sory."

Nimempigia hapokei tangu jana, nkajikuta tu na mi namtext "All the best", nlitaka nimpigie nimuulize kulikoni lakin naona kama hyo text imejitosheleza kabisa.

Kibaya zaidi ni kwamba nusu ya vitu nlivyokuja navyo ni zawadi zake, hapa nafikiria tu labda nigawie ndugu.

Hivi hapo tatizo itakua ni kutopiga simu tu kama alivyokua anataka au kulishakua na mengine yanaendelea? Lakin sijawahi kudoubt chochote kutoka kwake kwa kweli, sasa sijajua imekuaje. Wataalam na wazoefu wa haya mambo naomba mnijuze

kurudi atarudi tu ni lazima lakin you never know how long.., pole sana unajuwa issue ni kwamba nadhan hukueleza vizuri labda wakati kabla ya safari yako huyu bint licha ya kwamba alikuwa mpenzi wk je wewe ndo alikuwa anakutegemea kwa huduma??

Yawezekana sana baada ya ww kuondoka huyu dem alikosa huduma na inawezekana na huyo mtu alikuwa naye that time lakin kwa sababu alikuwa close na wewe zaidi ilikuwa ni shida kwake kukutoroka labda kwamba angekosa service ambazo unampatia.

Baada ww kuongoka jamaa aliitumia nafasi na yawezekana sana kwamba licha kumpatia huduma tu lakini alimuonyesha mapenzi babkubwa. demu ata akija akitoka nje na akafurahishwa zaid kwenye mapenzi ata mume wake wa ndoa anamkana on the spot.

Usitegemee sana kwa mwanamke wa kawaida kuwa na subira kiasi hicho lazima nikwambie tu apo katika mazingira kama hayo labda demu awe na dini sana, awe mchamungu ndio atavuta subira na kurudi ukamkuta.

Jibu ulilompa ni sahihi kabisa na nakuusia usije ukazidisha tena neno baada ya hapo usimfanyie ata mis call, mimi nna uzoefu atakutafuta tu tena ibaki kazi kwako.

Tafuta mwengine., tuliambiwa wako broo siyo yuko'' forget her, she was a snake otherwise atakupelekesha.
 
Pole kwa kuachwa, ila ni bora amekwambia ukweli na mapema kuliko angezidi kukupotezea muda. Kiufupi siyo mwanamke muaminifu, miezi miwili ni muda mfupi sana, yawezekana alikuwa na huyo jamaa kabla au ni mwanamke mrahisi sana. Huna haja ya kumpa zawadi kwa sababu kumtafuta kwa sasa ataona unamsumbua au unataka kumbembeleza na ndiyo sababu hapokei simu zako. Mpe mtu mwingine hizo zawadi, na jipange uanze maisha mapya! nikushauri tu usifanye haraka kujiingiza ktk mahusiano mapya
 
Duuh kweli huyo hakuwa mvumilivu.. 2 months are nothing to me .. Dear furahi kwa truth aliyokupa otherwise ungeteseka .. To me I feel like she was with that person during mkiwa together but she didn't tell you or may be the new guy alikuwa akimfuatilia huyo Dada for so long so for you to be away for 2 months kumemfanya amkubalie Huyo kaka.. There is no way a woman to start a new relationship for 2 months while ulikuwa na mnayependana kwa dhati for almost 2 years, I don't know may be .. Move on forget about her she will soon come back to you Ba kukuomba msamaha because not all men wanaosema I love you , are meant from their heart.. Na akirudi never take her back why? Because she will never be faithful to you.. Kama alishindwa kuvumilia 2 months , do you think ataweza kuvumilia till death do both of you a part, I doubt it.. Thanks..

Mmmmmmhhhhhh!!!!
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Kama aliweza kukufungilia wewe kufuli lake ujuwe huyo ni mzoefu na wewe ulikuwa wala na wenzako wala pia. Ni uasherati kwa kwenda mbele, hivi hamstuki tu?

Wacheni uzinzi na uasherati oaneni.
 
Ukubwa dawa, huo ndio ukweli. Kama aliweza kumvulia huyo, hashindwi kuwavulia wengine.
Hata hivyo, nilisoma sehemu fulani kuwa, wanawake kwa wastani wanatembea na wanaume 6 hadi wanapoolewa.
Uzinzi na uasherati umekuwa fasheni katika kizazi chetu.
 
Lakini hamna sehemu aliyoandika kuwa "aliwahi kumvulia"
#UsihukumuKwaUtashi
 
Alishapata mwingine, kabla hata wewe kuondoka alikuwa anangoja upenyo tuu.
 
Ukubwa dawa, huo ndio ukweli. Kama aliweza kumvulia huyo, hashindwi kuwavulia wengine.
Hata hivyo, nilisoma sehemu fulani kuwa, wanawake kwa wastani wanatembea na wanaume 6 hadi wanapoolewa.
Uzinzi na uasherati umekuwa fasheni katika kizazi chetu.

Na wanaume wanatembea na wanawake wangapi kwa wastani?? Teh teh teh jf bwana!
 
Na wanaume wanatembea na wanawake wangapi kwa wastani?? Teh teh teh jf bwana!
Nilitolea mfano wa wanawake, wanaume kwa wastani wanatembea na wanawake 10 kwa mujibu kwa jarida nililosoma, jf imefanya nini, we only share what we know/read, does it affect you?
 
Back
Top Bottom