yamemkutaaaa yamemkuta mzee mwenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yamemkutaaaa yamemkuta mzee mwenzenu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ney kush, May 22, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Mshkaji baada ya kiu
  kumbana
  ikabid agonge nyumba ya
  karibu
  kuomba maji akapewa
  maziwa mshkaji akaomba tena akapewa
  tena maziwa .!
  Ikabidi aulize mbona
  mnagawa maziwa
  kwa wingi.! Dogo akajibu
  maziwa haya
  panya alidumbukia hivyo kila m2
  hayataki..!! Mshkaji
  akapigwa na
  butwaa glass ikamponyoka
  na
  kuvunjika .! Dogo kuona vile akapiga
  kelele .! "Mamaaaa ile
  glass ya bibi
  anayotemea mate
  ishavunjikaa" mshkaji chini
  kazimia...! Hebu niambie akizinduka itakuwaje?...... nadhani huyu alikua boflo
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hahahhaaa...lazima udate hapo kudadadeki..unakuta ulipoanguka wamekupeleka kukulaza kwenye godoro lenye uvundo wa mikojo...
   
 4. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ni Kongosho tu,ndo mpenda vya bure,akiamka atajibeba,amezidi kupenda kwa sadala.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du!!! Hii kama ile ilirushwa na THE COMEDY east african television....!!!! anyway tumecheka!!!!!1
   
 7. S

  Safhat JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha inachksha!
   
 8. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Lol...
   
 9. African220

  African220 Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbavu zangu
   
 10. m

  mullay Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina hamu.
   
 11. somba kankara

  somba kankara Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 16th February 2012
  Posts : 294
  Rep Power : 373
  Likes Received26
  Likes Given0

  [h=2][​IMG] yamemkutaaaa yamemkuta mzee mwenzenu[/h]
  Mshkaji baada ya kiu
  kumbana
  ikabid agonge nyumba ya
  karibu
  kuomba maji akapewa
  maziwa mshkaji akaomba tena akapewa
  tena maziwa .!
  Ikabidi aulize mbona
  mnagawa maziwa
  kwa wingi.! Dogo akajibu
  maziwa haya
  panya alidumbukia hivyo kila m2
  hayataki..!! Mshkaji
  akapigwa na
  butwaa glass ikamponyoka
  na
  kuvunjika .! Dogo kuona vile akapiga
  kelele .! "Mamaaaa ile
  glass ya bibi
  anayotemea mate
  ishavunjikaa" mshkaji chini
  kazimia...! Hebu niambie akizinduka itakuwaje?...... nadhani huyu alikua boflo na alipo angukia ndipo palipokuwa na mzoga wa mbwa aliye kufa wiki mbili zilizo pita Je utaendelea kuzimia au​
   
Loading...