barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 May 22, 2017 #21 Petro E. Mselewa said: Yuko Rais Magufuli, Rais Zuma, Waziri Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Kijazi Click to expand... Jpm anamtambulisha Makonda kwa kujivunia kuwa huyu ni kijana kiboko ya wauza unga, hapo anamwambia pia yupo dogo mwingine Arusha nae ni jembe! Zuma anasema, safi sana kijana!!
Petro E. Mselewa said: Yuko Rais Magufuli, Rais Zuma, Waziri Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Kijazi Click to expand... Jpm anamtambulisha Makonda kwa kujivunia kuwa huyu ni kijana kiboko ya wauza unga, hapo anamwambia pia yupo dogo mwingine Arusha nae ni jembe! Zuma anasema, safi sana kijana!!
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,589 May 22, 2017 #22 Jamaa ana bahati sana aisee!