Yameishia yalipoanzia
ilikuwa dawa ya kuwafanya wawe legelege
ndo maana mambo hayaendi
Moshi wa Mwenge nao unamalizia kwa kuwafanya mazezeta wa kifikra ili rasilimali za Taifa ziondoke mchana kweupeee huku tukitazama, tukijitahidi sana tuna andamana kisha tunarudi nyumbani!
Nguvu ya Soda Pespi kola.........
Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mtu unaozalisha dawa hiyo.
Mchungaji Mstaafu Mwaisapile akipokea zawadi ya simu ya Mkononi kutoka airtel. anayemkabidhi ni meneja wa biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu. Kulia DC wa Ngorongoro, Mh. Elias Lala Wawi
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali (katikati), Diwani wa Kata ya Samunge, Bw Jackson Sandea (kulia), Meneja Biashara wa Airtel mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu