Yaliyosemwa nyerere day

Yaliyosemwa nyerere day

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
852
Reaction score
204
Dear Nyerere:

Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.

Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo shambani.Siku hizi waheshimiwa wanawekewa red carpet ili wapende miti.

Hukupenda kuuza sura,hatakuona picha yako na Michael Jackson au Phil Collins, ila prezidaa anajiandaa kupiga picha na Lady Gaga.

Siku hizi vijana wengi hatutaki kujituma kazini wala kujitolea kujenga Taifa...tunataka utajiri wa haraka tu.

Vijana wa kiume wazalendo sana.Wanavaa suruali za bluu,kijani,njano na wanavaa za kubana sana ili kubana matumizi ya vitambaa.
 
Mmmmhhhh !!! Inatia uchungu,pale mtu na akili zako unapolazimishwa kukubaliana na uwongo.
 
Huku 2nakoelekea sasa tutakuja kuambiwa hata sisi si watanzania tunapewa nchi nyingne na tanzania ni ya nchi nyngne kwel nyerere angeweza kurud tena tusingekuwa na maisha tunayoishi sasa hv,.viwanda vingefufuliwa na vijana weng wangekuwana ajira na wizi ungepungua kwel WATANZANIA TUNAUZWA..tutamkumbuka sana nyerere.
 
haya yanawezekana
 
Dear Nyerere:

Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.

Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo shambani.Siku hizi waheshimiwa wanawekewa red carpet ili wapende miti.

Hukupenda kuuza sura,hatakuona picha yako na Michael Jackson au Phil Collins, ila prezidaa anajiandaa kupiga picha na Lady Gaga.

Siku hizi vijana wengi hatutaki kujituma kazini wala kujitolea kujenga Taifa...tunataka utajiri wa haraka tu.

Vijana wa kiume wazalendo sana.Wanavaa suruali za bluu,kijani,njano na wanavaa za kubana sana ili kubana matumizi ya vitambaa.

Nimeipendaje hiyo yenye red?
 
Jamani,si mmeona na kusikia naibu Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi(Mh.Augustino Mulugo) alipokuwa anahutubia huko Cape Town-South Africa,"Pemba+Zimbabwe=Tanzania ambayo imezaliwa one nineteen sixty four(1-1964).
Kwa mpango kama huu unategemea nini!Maana anaweza pewa mkataba akausaini na asijue nini madhara yake.
 
Dear Nyerere:

Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.

Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo shambani.Siku hizi waheshimiwa wanawekewa red carpet ili wapende miti.

Hukupenda kuuza sura,hatakuona picha yako na Michael Jackson au Phil Collins, ila prezidaa anajiandaa kupiga picha na Lady Gaga.

Siku hizi vijana wengi hatutaki kujituma kazini wala kujitolea kujenga Taifa...tunataka utajiri wa haraka tu.

Vijana wa kiume wazalendo sana.Wanavaa suruali za bluu,kijani,njano na wanavaa za kubana sana ili kubana matumizi ya vitambaa.

na mtoto wa rais ndiye mteuzi mkuu wa wakuu wa wilaya, mikoa, ma ded na hata mawaziri ambao wanasema tanganyika iliunganga na zimbabwe kuunza tanzania
 
Umesahau kusema na ww pia umetekwa na wazungu kwa kupoteza mda kwenye social network
 
Back
Top Bottom