Kila mwaka Google huweka hadharani orodha ya maneno yanayoongoza kutafutwa kupitia search engine yake. Kwa mwaka huu 2014 orodha ya mambo yaliyoongoza kutafutwa kupitia Google ni hii hapa:
FROZEN ni animation movie moja hivi ya WALT DISNEY (disneyland) nzuri kweli, na mimi ni mmojawapo kati ya walio search hii kitu
napenda sana kale kawimbo let-IT-GO
kuhusu mambo ya world cup cjawahi kusumbua vidole vyangu ku-search hiyo kitu kabisaaaa
labda MALAYSIA AIRLINES hapo nlikua mdau mkubwa