Hamna kuendelea na mada mcheza viduku wewe kashinde kwenye vigodoro na vyura wenzio.Ni kitu kizuri sana kama umegundua kuwa mimi ni MWANAUME na sio MTOTO WA KIUME anaetumia vumbi la kongo, imeisha hiyo na tuendelee na mada husika maana inaonekana mmekosa hoja
Au sio......basi tuendelee na mada mtoto mzuriHamna kuendelea na mada mcheza viduku wewe kashinde kwenye vigodoro na vyura wenzio.
Nitafutie mminya chura mmoja nideal nayeAu sio......basi tuendelee na mada mtoto mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo chips mi huwa nazitumia kama mboga tu na sio chakula kamili
AiseeeeIshakuwa fashen Sasa kuleta stori zenye episodes
Na mm likes zikifika mia ntaleta uzi wa mzee tozi na manara
Mkuu yule Cute Love 7800tshs ni mwanaume?Kama mwanaume unatakiwa uone aibu kujipachika baadhi ya majina. Wewe una tofauti gani na jamaa aliyekua anatumia id ya kike ya gilesi na ya cute love?
Mawazo yako yapo kwenye ngono tu
Hiyo 7800ths alimpa ya bodaboda au?Duuh aisee ni hatari vipi sasa na yule jamaa aliesema alimchakata na kumpa 7800 kumbe humu unaweza tongiza kidume mwenzio
🤣🤣🤣🤣Yani we ndio pimbi kabisa, yani unaitwa sehemu ambayo unajua kwa asilimia 86 unaenda kupiga mechi halafu eti unajisifia mlikula chips, hivi nyie watoto wa kiume mbona mnatudhalilisha sana sisi WANAUME