D
Siku nyingine uache tabia mbaya ya kukaa nyuma ya dadaako. Unapenda kuchabo chura wa dadaako... nimekustukiaHabari zenu wana Jf
Nianze na mkasa ulionikuta jana..mida flani hivi nilienda kariakoo na Dada yangu..katika mizunguko yetu yeye alikua mbele mimi nyuma
Sasa si mwajua kariakoo ilivyo na watu wengi..nikiwa katika mshangao wa kushangashangaa nguo ghafla nikapigana kikumbo na mdada amevaa baibui ameziba macho kama avatar ya madame s
Yani nikaganda ghafla uku nikimuangalia tu..akafika mbele akageuka..lahaullah!! Macho ya yule dada sikuyaelewa hata kidogo alafu yalikua hayatulii kile kiini cheusi kinafanana na kiini cha paka
Nikasema hapana sikuamini nilichokiona nikageuka kuangalia mbele huku nikijiuliza kama yule ni mtu
Nikageuka tena nyuma alikua amefika mbali lakini bado aliponiangalia macho yalikua vilevile...ghafla Dada akaniita jina langu nikaitikia "aliniuliza vipi mbona umesimama tu hapo" sikumjibu kitu
Nikageuka kwa mara ya mwisho sikumuona tena yule dada
Yani nilinyon'gonyea hadi tunatoka kariakoo bado najiuliza..hivi nilikutana na jini ama kuna binadamu wenye macho ya vile!!!
Hayo ndio yaliyonikuta siku ya jana mwenzenu
Mkuu upo...karibu tenaKila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Imbecile Empty set kabisaa.Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Mbwa ukimjua jina hakupi shidaKila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] babu weweSiku nyingine uache tabia mbaya ya kukaa nyuma ya dadaako. Unapenda kuchabo chura wa dadaako... nimekustukia
Aiseee..umeelewa ulichokiandika lakini?Badala ya kumtongoza ukaishi kushangaa
Ahsante...linikariri ili iweje?pole sana mkuu. Nahisi lilikua linakukariri
Mmhhh!! Asante dearJini hilo pole sana
Aaahhh!! Acha bana..kukutana nae tena??saiv upo wapi?
majini nikawaida kukutana nayo hapo mkuu..
na huko kugongwa haikuwa bahati mbaya,lazima mkutane tena,keep in mind..