Yaliyonikuta 2021

Kwahiyo unalalamika kwamba huyo mpya mmeachana na mlikuwa na mipango mingi. Kwani hiyo mipango kaenda nayo? Si uitekeleze wewe na huyo wa zamani
capital inakwama mkuu
 
asante mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Mwanaume unapenda mteremko na mserereko wewe.... Yaani unasisitiza kuwa mipango yako mingi haijatimia kutokana na ahadi hewa na starehe za mwanamke mpya.....

Sasa mbona hukumchuna kwa akili?? Haki nacheka Kama mazuri vile
??
lengo langu lilikua kufanya maisha na sio starehe
 
nimekuelewa sana mkuu
 
Na kwenye profile umemuweka Fetty Wap, mtoe unamdharirisha tu mwanaume mwenzio ni hustler hana tabia za kimarioo kama zako..
mimi sio Marioo mkuu ni situation tu imetokea
 
Kwa nilivyoelewa unahitaji mwanamke ambaye yupo njema kiuchumi ndio maana ulivyoachana na huyo mpya imekuuma umeyumba kiuchumi.

Huyo wa zamani unampenda sana shida hana hela ila ndio anakupa furaha ya kweli ndio maana ukashindwa kufanya maamuzi kipindi ulipokua na wote wawili.

Wanaume acheni kupenda mtelezo, vitabu vya dini vimeandika mtakula kwa jasho means wanaume mfanye kazi, mambo ya kudate na mtu kisa ana hela tuachieni sisi jaman😁😁(Joke)
Mkuu pambana hela ukizitafuta kwa bidii utazikamata nyingi tu
 
asante mkuu kwa ushauri
 
nimekuelewa mkuu
 
Bloo umezingua Bloo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…