PostGE2025 Yaliyonifurahisha katika Azimio la EU

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hiyo tafsiri ya wao kususia no ungwaachia wao wenyewe Chadema wasishiriki na sio kufanya vitendo vya kuwa zuia kushiriki, moja ni Kesi iliyo funguliwa na wale jamaa wa visiwani, Kufungia account zao, n.k

Pili ni kesi ya Mchongo ya Lissu
 
Kweli usimwamini mtu duniani.

Yericko kama Mungu yupo kweli na anaishi sawa, lakini pia kama Mungu hayupo sawa vile vile.

Kaka Yericko umeniumiza sana
Siku zote nilikuwa namuona Yericko jasusi uchwara, tangu anaanza kuuza viitabu vya ujasusi uchwara 80,000 kutokana na Story za kuokoteza mitandaoni. Ajabu wengi walikuwa wanamuona genius kipindi hicho!🤣🤣
 
Hii article yako unataka kuachive nini wewe njaa kali, jasusi feki wa hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…