PostGE2025 Yaliyonifurahisha katika Azimio la EU

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe ni nyani kama tumbili wengine Huwezi kuwachalenji binadamu wa EU.
 
Kweli usimwamini mtu duniani.

Yericko kama Mungu yupo kweli na anaishi sawa, lakini pia kama Mungu hayupo sawa vile vile.

Kaka Yericko umeniumiza sana
 
Nimetoka kumpigia kura Savatir kule Zicomo awards
 
Y
Huyu jasusi wa kuvundika @yericko amenithibitishia mbowe alikuwa tapeli na niamini kila mpinzani yupo kupambania maisha yake binafsi. Huyu kawachomesha vijana wengi jama kina soka na dude na wote waliokuwa karibu kuufahamu ukweli wa chad3ma ya ulaghai
 
Kumbe Huyu Jamaa Ni Kopo Hivi.
Now Days,Mnaotumia Jina Nyerere Mnalishusha Hadhi Jina La Mwalimu Nyerere,mmekuwa Watu Wa Hovyo Sana.
 
Kuna muda najikuta nakuhurumia
Maana kila nikikatiza kwenye kurasa zako zote nakuta unapigwa nyundo na wafuasi wako
Sasa nashindwa kuelewa wale wanaokukubali wako wapi?
 
Tauteni kazi za kufanya sio lazima mfanye siasa kwani nyie ni vilema?
 
Ukivunja heshima yako kuja kuirudisha hua ni ngumu sana. Huyu jamaa kwa sasa hapishani na gigy money na inawezekana gigy akaongea kitu watu wakamsikiliza ila huyu kawa hovyo kuliko ho
 
Very hopeless ,ngoja nikutupe kwenye ignore list maana nimeishia kusoma mistari mitatu ya mwanzo.
 
Ungewasaidia kuwapa ushauri na hizi 'points' wale walioandika barua kwenda kwenye bunge la ulaya wakiomba haki ya kusikilizwa.

Au pia unaweza ukawatumia bunge la ulaya hiki ulichoandika na pia ungeongezea kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kutekwa,kupigwa risasi au kuuwawa hapa Tanzania.

Pia wajulishe kuwa 'Raisi huteua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi, tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…