Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
😂😂😂😂Unwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
ha ha haahahahahahahahUnwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
Me a wife "oohh,pole honey-hubby,ndio maana nilikuwa na wasiwasi mnoo[emoji22]...Mungu ni mwema jamanii umerudi home salama,nakupenda sana sana hubby wangu,,kisses muah[emoji8][emoji8]..karibu chumbani upumzike"....lolUnwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
Asante wife....Siunajua nilivyombabe nimeyakumbiza hayo manyan'gau limoja nimelivuja mguu...Me a wife "oohh,pole honey-hubby,ndio maana nilikuwa na wasiwasi mnoo[emoji22]...Mungu ni mwema jamanii umerudi home salama,nakupenda sana sana hubby wangu,,kisses muah[emoji8][emoji8]..karibu chumbani upumzike"....lol
Hahahahaa(in mahaba's voice) nakujua hubby wangu,zile mbio zako za uwanjani nahisi wamekoma hao ma bazazii leo,...nimekupikia kile chakula chako kitaaaaammm unachokipenda bila kusahau pilipili yako mbilimbi hubby...."Asante wife....Siunajua nilivyombabe nimeyakumbiza hayo manyan'gau limoja nimelivuja mguu...
Sipendi ujinga mimi. Eeh leo umenipikia nini maana wewe mwanamke utaniua na madiko diko.[emoji6]
Kwanini unanitia vishawishini lakini?Hahahahaa(in mahaba's voice) nakujua hubby wangu,zile mbio zako za uwanjani nahisi wamekoma hao ma bazazii leo,...nimekupikia kile chakula chako kitaaaaammm unachokipenda bila kusahau pilipili yako mbilimbi hubby...."
[emoji20]....[emoji80]Kwanini unanitia vishawishini lakini?
Haya tu.[emoji20]....[emoji80]
Usiwe hivyooo bwanaa[emoji22]Haya tu.
Huyo mke akikuelewa kwa fix hii utatisha sana😂Unwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
anaelewa tena vizuri tu...fika hapo unahema ma jasho jingi atakuelewa.Huyo mke akikuelewa kwa fix hii utatisha sana[emoji23]
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne usiku Wife huyu hapa mlangoni kuangalia miguuni ndo ikawa kama hivi😂
View attachment 860622
Unwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
Aisee nimecheka sana!Asante wife....Siunajua nilivyombabe nimeyakumbiza hayo manyan'gau limoja nimelivuja mguu...
Sipendi ujinga mimi. Eeh leo umenipikia nini maana wewe mwanamke utaniua na madiko diko.[emoji6]
Jamani mbona tuna-nyegeshana Kasie mahaba?Kama ni mie ningekujibu keengeeeh weeh karibu ndani kesho urudishe kiatu cha watu na wewe uchukue chako.
Halafu naishika kidogo na kuipapasa nikiwa hapohapo mlangoni, nakukunong'oneza. Fanya makaratee yoote unipe vyangu vitatu ndo ntalalana hakuna kutegea.