Yaliyomkuta Jirani yangu...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne usiku Wife huyu hapa mlangoni kuangalia miguuni ndo ikawa kama hivi😂
 
Hahaha hizi mambo bhana hatari sana.
Kwahiyo wameachana au bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…