Ngoja tutafute cha 4 mama ili tuendelee kupata raha au wewe unasemaje?
........ Balantanda.......Dakika ya 65
Simba 2-3
Ngassa amekosa goli la wazi kabisa
Twite anarusha.....
Simba wakishinda nahama JF
........ Balantanda.......Dakika ya 65
Simba 2-3
Ngassa amekosa goli la wazi kabisa
Twite anarusha.....
Zilikuwa haziendi kabisa.Kinana sa zile zilikuwa hazinyweki
Nitakupiga ban.
Hii pub na mpango wa kuwakodisha al shabab wakaofyatue
huyu kocha wa yanga naona anaongea na waganda 2,vp wabongo hakipand?