Mbona mmepotea? au ndio wote mpo kwenye tv mnaangalia yanayojili Dodoma?. Kususia kwenda Dodoma na hatususii kuangalia yanayojili kwa kutumia tebee. Hivyo msg sent and received via tv au sio masela? Naona mnasikia hadithi ya alfulela ulela au sio? mmehama humu na mnasikia mambos ili baadae muweze kutembea kwenye maneno yao au sio? Labuda tutapanga kujibu mapigo ya kuwa hatujaingia kwenye bottle au sio?. Wote nyie including UKAWA mnaendaga kwa mipasho tuu ambayo baadae inawatafuna wenyewe (CCM na UKAWA).
Wanawake fifite kwa fifite. Laisi ajae ni vema atoke kwa wanawake au sio? Nadhani ni A........ahaaa ni siri siriiii au sio CHEUPE WA KIMASAI?
Naona hadi sasa humu hamuna watu wa kuchat, yaani toka usubui ni pg 2 tu?. Najua mtarudi baadae.
Katiba uoyieeeeeeeeeee au vipi wenetu? au tutajipangaje tena? Maandamano ni lini? au sio?. Naogopa falasi wa polisi watatung'ata ni vema tujitayarishe kukimbia na kucheka wajameni. Mie sio wa CCM na sio wa UKAWA. Nipo kama mimi tu. Msinihukumu. Sipendi chuki zenu wote. Yaani hampendani wote. Poleni sana. Chuki itawauwa nyie wajameni.