Mh, ulichekechwa taifa au ndio janja ya taka jua maswali ili ujiweke fiti zaidi? Ushauri wang endelea kujiandaa kama unavyofanya hivi sasa na nna uhakika ukiwa unajiamin utapita tu,ila wakuja kukupa maswali hapa sidhani,zaid udanganywe tu.