yaliyojiri "leo tupo hapa pub".

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Ilikuwa ni majira ya saa tano usiku last weekend kikosi chetu maalum cha investigative journalism kilipotinga 'leo tupo hapa pub' kufuatilia nyendo za wana chichat waliojumuika pale kula bata.Kwanza mkao ulikuwa hivi:
Madame B alikaa na Fidel80 cacico alikaa na Ruttashobolwa,gfsonwin alikaa na Asprin Paloma alikaa na AMMu(????) Jiwe Linaloishi Kaka Kiiza na snowhite kila mmoja alikaa kivyake.
Matukio:
1. Saa sita usiku Asprin alimtapikia snowhite,snowhite akamlamba kofi.
2.Saa sita na robo watu8 alimnawa gfsonwin,naye akalambwa kofi pwaa.
3.kwenye saa saba cacico alitaka kwenda toilet akayumba mweleka chini (hajazoea gin n tonic),kibaya hakuvaa kufuli Kaka Kiiza kuchungulia dah serewale ikaloa ghafla.
4 Paloma kwenye saa saba na nusu alitoka chemba na Ruttashobolwa,punde sauti ikasikika 'chu.pi yangu iko wapi?
Picha zote za matukio yote zimehifadhiwa zikiwemo na za maganda ya 'salama' yaliyoonekana kwenye kakichaka nyuma ya bar.
Ni mwandishi wenu Rainfred ' TANMO 'Masakoo wa jfudakuuuuuu:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…