Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

Kama kweli viongozi wa dini wamemshauri atuwekee ushahidi, atuwekee barua kutoka tec cct au atuwekee picha za vikao alizofanya na hao viongozi wa dini, waache kumshauri aachane na biashara ya danduro (casino) wamshhauri aache kudai haki yake ya kidemokrasia kama sio maneno ya kijinga ni nini?
 
Sasa na wewe mleta mada kwa kuangalia hizo comments unaona kuna hata mmoja anaye jitambua hapo.
Hao watu wana upungufu mkubwa wa msamiati “KUJITAMBUA” Na ndio maana kwa kuangalia tu hakuna alie mjibu kwa hoja rather as usual wakatumia utaratibu wao wa UVCCM wa kujibu kimipasho mipasho.
Kuzidi kuthibitisha hilo fuatilia na baadhi ya comments humu pia, utagundua majority hawana hoja.
Thatha hata wewe angalia thread yako ulivyo ileta kishambenga shambenga... Hapo roho yako imeridhika na umejiona umeleta bonge la taarifa.
HAKIKA UVCCM NI CERTIFIED IDIOTS.
 
Yani unajisifu kwa coments za wanaccm wenzio kweli mmeshikwa Tundu msilolipenda halafu siku hizi mnamtindo wa kuhamia akaunti za wabunge wa upinzani mkiandika shombo zenu ili mbunge fulani aonekane watu hawampendi bahati mbaya mlivyo hata mkivaa suti harufu ya kinyesi lazima itoke
 
Pamoja na CCM kuutangaza UKUTA mpaka kueleweka kwa kila raia pia wamefanyishwa mazoezi ya kutosha.

Nasubiri tu kuona usafi ukifanyika sasa.
 
Ndiyo maneno yenu yaliyobaki leo.
 
Hao ni watanzania ndugu
 
Hao ni Watanzania wote. Hakuna hata mmoja hapo mwenye nembo ya CCM. Watu wameshawastukia wazee wa kubadili gia angani.
 
Nilishawahi kuwashauli chadema ili wakubalike wang'ang'ane kuwaletea watanzania maendeleo hata kupeleka misaada mashulen hospital lakn unapanga maandamano hzo pesa mngewekeza kwa wananchi ili muwe na iman kwa watanzania majimboni kwenu hakuna kitu wala maendeleo watu wanalalamika nyie mnakuja na slogan za UKUTA badiliken kiukwel
 
Anzisha mada yako watu wachangie, mada za watu una comment kwa mistari miwli basi.
 
Leo ndiyo kazi mtakayofanya angalau kujiepusha na msongo wa mawazo , mfalme kabadili gia angani
Yani sawa na mwanaume kumeza Viagra na kufanya mazoezi ya kuuweka mwili huku ukimsubiri mwanamke wako halafu anakupigia simu dakika za majeruhi kuwa sifiki lazima uweweseke huku ukipga mayowe ndo kilicho wakuta nyinyi wafuasi wa kibwetele bado mna maumivu ya jana..mazoezi mengi hadi mkafukua na vyuma chakavu halafu mwisho wa siku mpinzani hajatokea uwanjani..Intelejensia ya Chadema imeona hali ya hatari
 
Hao ni Watanzania wote. Hakuna hata mmoja hapo mwenye nembo ya CCM. Watu wameshawastukia wazee wa kubadili gia angani.
Kwani Chadema wana nembo,Mnaumia mpinzani wenu hajatokea uwanjani mana mlikunywa hadi dawa za kuongeza nguvu sasa maumivu yamezidi..Intelejensia ya chama imefanya kazi
 
....Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media na public na imewapa uhai kama Chama....wangeruhusiwa kuendelea kufanya siasa zao kama zamani leo wasingekuwa katika kurasa za mbele kama hivi.....wametengenezewa ajenda nzuri ambayo hawakuwa nayo....just thinking - Edo kumwembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…