Yaliyojiri formsix Leaverz JKT

mwana umeongea la maana sana na tena la mbolea kabisa
 
Nimepita j.k.t 2009 dah kule huwa wanaachia WENYEWE ili wapate unafuu Mbna huyo teyar keshariwa....' wanatoaga wenyewe da huwa tunawafaidigi.
 
Inauzi sna hii mambo ya lulazimisha game kwa kigezo flan either chuo,kazi au jeshin kama mtoa mada anavyosema.imagine ni watoto wao wanafanyiwa hivyo..
 
Malizia, akienda kazini kuna mabazazi yuko radhi akuharibie kazi kwa sababu umempa shiti. Mwisho wa siku ni lazma uwe m'babe hata kukutongoza waogope!
 

ni sauwa jamaa hicho ndo kipimo tosha cha malezi yakeee.....namuombea amalize salama akirudi mtaa tunasahau yaliyopita tunasonga mbele...tuangalie tena yakupangiwa zamu usiku nakutamaniwa na mabosi....
kwa kweli bora angesomea ualimu tu kule angalau vishawish si vingi sana kama polisi....
 
Unapoanza kuhangaika na mtu ambae unajua kabisa kuna wakati hautakuwa nae ni kumharibu

Maisha yana changamoto nyingi na zipo kila mahali,cha kufanya huyo binti ni kujifunza kukataa bila kuvuruga kilichompeleka huko kwani akitoka hapo kuna chuo ambako kuna changamoto nyingi na za hovyo kuliko hizo

Mwambie ajisimamie na ajue kuwa duniani kila mahali kuna changamoto,lakini pia inamaana kwa umri alionao hajawahi kutongozwa na mtu akamlazimisha kweli au anadeka tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…