Pamoja sana Mkuu. Hilo suala la Muungano hakika ni kaa la Moto. Wengine wanataka turekebishe matatizo yaliyojitokeza ikiwa ni pamoja na hilo ulilosema ili tuboreshe muungano uliopo wakati wngine wakitaka tuende kwenye mfumo mpya kabisa.
Anaendelea kama kawaida.kwani bado anapasha mipasho?
Si unajua taarabu ziilivyo ndefu.Hamalizi tu hotuba yake?
Karume anakunywa pombe?
Hapa tutashuhudia ngumi laivu bungeni.Kwa jinsi alivyoongea nadhani mjadala utakuwa mkali sana,watu hawawezi kukubali kupitisha mawazo ya nec ya ccm,la kushangaza hata mawaziri kutokuwa wabunge amelipinga!!!!
We mzima kweli mkuu hivi unamsikiliza kweli wewe rais?Kama amedanganya
1.Angeivunja tume iundwe tume nyingine.
2.Angetoa majibu sahihi ya anachopinga na sio kusema "WAO WANASEMA",
3.Anaweza vp toa pongezi kwenye kazi isiyo ya kweli.
4.Mbona hajatoa majibu ya maswali yaliyoulizwa kwenye rasimu yanayoikabili serekali kwa sasa kuhusu Muungano.
Mlevi hatari, kila mtu ajuwa Zanzibar, hapo haoni kwa pombe
Hivi siku hizi hadondoki huyu, haya tumeshasikia maoni yako na genge lako mliokaa mkayapanga kama Tanzania ni yenu nyinyi genge la watu wachache.
Hizo porojo hata hao waliolipwa kukushangilia wamekuchoka.
Yaani acha tu dada yangu, hii Tanzania kuna kundi la watu wachache ndio wanaiendesha hii nchi. Sasa badala ya watanzania wafumbe macho wamekalia vyama tu, watanzania wengi wanapenda sana vitu vya ubabaishaji ndio tumefika hapa.