Yaliyo Nikuta Week Hii

Hujataja jina unafikiri akisoma thread yako hawezi kutambua kwamba ni true? Ulimaliza mchezo ile siku
 
Yaani wewe mwenyewe kwa akili yako umeshindwa kuelewa kama umkubali ama umkatae. Na hapo kuna mwanamke yuko nyumbani anaita mume wangu anapika na kupakua chaa ama kweli wanawake tuna kazi
 
Acha uongo na wewe kah! Yaani uingie hotelini mko wawili na mwanamke tena uliyesema ni rangi ya dhahabu mwanaume uliyekamilika umuache? Pili umesema yuko humu na ulimkatalia kisa unamheshimu unageweza kuandika haya na yeye yuko humu humu? Uongo sio mzuri mwisho wa mwaka huu
 
porojo kama porojo nyingine, kulikuwa na umuhimu gani kutaja uyo mazaa yupo humu (hapa una lengo lako)
 
Mkuu kutokana na maelezo yako huyu mama yupo humu, atajisikiaje baada ya wewe kuja kumuanika humu?

Nadhani ilikua busara kukaa kimya kama ni kumkataa au kumkubali ungeamua kimya kimya.

Upande mwingine nahisi hii story yako ni chai sijui kwanini.
Point....

Sasa kama una msimamo kweli wa kutotoka na mke wa mtu haikuwa na haja ya kumuanika humu, mbona yeye hajakuanika ulivompiga mzinga? Mwanaume wa dar [emoji23]
 
Kama ni mwanifu. Usimsaliti mkeo sababu ya hiyo pesa. Huyo mama ni pepo kabisa atakuletea matatizo kwenye ndoa yako,kama ni hiyo pesa jitahidi umrudishie mapema coz ndio kakufunga nayo. Kuwa makini kijana
 
nashangaa uko nae room af hujamaliza kazi...vitu vingine sio vya kuomba msaada we ungeleta t story ya matukio yote na jinsi ulivomaliza kazi,,....thread ingekuwa nimemkojoza fulani baada ya kunitaka kisa kanipam msaada,..sio unakuja kuleta ei oo nifanyeje mara sijui umemkimbia mara unauliza kama vema au si vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…