Yaliyo Nikuta Week Hii

aisee acha storinza kutunga
 
Unaonekana hujamaliza darasa LA Saba, uandishi wako unanifanya niwaze hivyo[emoji2] [emoji2]
 
Hali ngumu unaanza kulelewa ila ni hatari.
 
Kira=kila
Kweri=kweli
 
Shida kubwa watu wengi ni maboya sana
MTU kaomba msaada then ukaa unamchana mwenzako , kama unaona kafanya ovyo so bora upite tu bila kusena chochote.
Nyambafuuuu
 
We ni mwanaume bana ulitakiwa uyatatue kama mwanaume na si kuyaleta humu. Sasa akisoma huu Uzi unafikiri atajiskiaje? Ataona unamdhalilisha. Kweli umefanya kitendo cha kishujaa lakini kama humtaki unamwambia tu humtaki basi na si kumfanyia hivi. ILA ni ukweli mwanamke usipomgonga vizuri atakimbia tu kwa MTU maana pale anakua sio yeye kuna kitu kinamuendesha na maushauri anayopata na anavyowaona wenzie wanafanya. Labda umpate mcha Mungu. Wanaume tujitahidi kugonga wake zetu watosheke hata kama tunastress. Labda kama unaumwa ndo atakuvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…