Yaliyo Nikuta Week Hii

Sasa wewe unaogopa nini kwani wewe mwenyewe hataki hela mlipe tu hiyo haki yake mambo mengine tutaangalia baada ya x-mass
 
Mkuu kutokana na maelezo yako huyu mama yupo humu, atajisikiaje baada ya wewe kuja kumuanika humu?

Nadhani ilikua busara kukaa kimya kama ni kumkataa au kumkubali ungeamua kimya kimya.

Upande mwingine nahisi hii story yako ni chai sijui kwanini.
Sidhan Kama Kuna Ubaya....!!!!

Ubaya Unakuja Kama Nimeweka Wazi Kabisa Majina Yake

Na Kumbuka Huo Ni Ukweri Kuwa Mim Ni Mume Wa Mtu Na Yeye anafaham Hilo So Sidhan kama Nimefanya Makosa Kuleta Humu Uzur Hakuna Sehem Niliyo Taja Jina Lolote La Mhusika
 
We jamaa nakuheshimu ila naona umeamua kujivua nguo
 
Mkuu kutokana na maelezo yako huyu mama yupo humu, atajisikiaje baada ya wewe kuja kumuanika humu?

Nadhani ilikua busara kukaa kimya kama ni kumkataa au kumkubali ungeamua kimya kimya.

Upande mwingine nahisi hii story yako ni chai sijui kwanini.
Hii ni story tu ya kutunga! Hujashtuka tu dada?
 
Watu wanatafuta grisi, wewe mtoa mada unaimwaga kwa ufahari. Ole wako nikusikie unalalamika kuwa vyuma vimekaza.
 
Naonaa umeamua utupee chai asubuhi asubuhi...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…