Yaliyo nikuta jana river side

Yaliyo nikuta jana river side

Joined
Feb 15, 2014
Posts
99
Reaction score
17
mm ni fundi niliye jiajiri kazi zangu za gereji nilikuwa na ndugu yangu tunarudi kutoka maangaikoni nikatoa1000 nauli ya ubungo ya kwangu na ndugu yangu mm nikaomba wanishushe Makuburi nikapitilizwa kituo kisa walikuwa wana kimbilia abiria kwani zilikuwa gari mbili za mbagala nilipo omba kurudishiwe nauli wakagoma ikawa niugomvi wa abiria wote wakishinikiza konda na dereva gari lipeleke kibangu polis tukatoa maelezo cha ajabu konda na dereva wakaondoka sisi tukalala ndani hadi leo tumepelekwa mbezi polis kwamba tumesababisha upotevu wa hesabu ya siku ambayo ni 420000 je wanasheria naombeni msaada wenu naambatanisha picha ya gari
 
Poleni abiria. Hiyo ndiyo Tanzania na hao mafisadi ndio wakuu wa siku.
 
Duh pole sana mkuu, tafuta wanasheria hapo wakusaidie kaka wakina lissu au mnyika wanaweza kukupa muongozo mnyika ni member humu.. Pole sana kaka, hii nchi imeoza kila sehemu ni njaa tu.
 
Haya, nasubiri picha ya gari. kwahiyo bado upo Police?
 
Nenda SUMATRA ndiyo wanahusika na malalamiko kama haya.
 
Umechemka, ulipashwa kwenda polisi kuripoti na sio kung'ang'ana na konda!
 
mm ni fundi niliye jiajiri kazi zangu za gereji nilikuwa na ndugu yangu tunarudi kutoka maangaikoni nikatoa1000 nauli ya ubungo ya kwangu na ndugu yangu mm nikaomba wanishushe Makuburi nikapitilizwa kituo kisa walikuwa wana kimbilia abiria kwani zilikuwa gari mbili za mbagala nilipo omba kurudishiwe nauli wakagoma ikawa niugomvi wa abiria wote wakishinikiza konda na dereva gari lipeleke kibangu polis tukatoa maelezo cha ajabu konda na dereva wakaondoka sisi tukalala ndani hadi leo tumepelekwa mbezi polis kwamba tumesababisha upotevu wa hesabu ya siku ambayo ni 420000 je wanasheria naombeni msaada wenu naambatanisha picha ya gari

Picha ya gari iko wapi?

Maelezo yako yameacha maswali mengi mno! Leta picha hiyo kwanza kisha tuendelee na mjadala.
 
Duh pole sana mkuu, tafuta wanasheria hapo wakusaidie kaka wakina lissu au mnyika wanaweza kukupa muongozo mnyika ni member humu.. Pole sana kaka, hii nchi imeoza kila sehemu ni njaa tu.

Toa siasa zako hapa
 
Toa maelezo vizuri nitakusaidia ..sijaelewa ilivyokuwa.kwan uoeleke gari police alafu ww uwekwe ndani? Fafanua
 
Siku nyingine kubali kua mpole. kumbuka kwa muoga huenda kicheko na nyumbani kwa mbabe huenda kilio. Ungechukua zoezi kutembea Riverside mpaka makuburi ungeimarisha afya. wamehonga kidogo tu wewe umenyea ndoo
 
nenda sumatra ndiyo wanahusika na malalamiko kama haya.
mkuu get sumtra ni wapuz kuliko police wakipgiwa ata na tibaigana ama mh mahta mwenye dalala nyingi asizozjua wanakuwa ovy
 
mm ni fundi niliye jiajiri kazi zangu za gereji nilikuwa na ndugu yangu tunarudi kutoka maangaikoni nikatoa1000 nauli ya ubungo ya kwangu na ndugu yangu mm nikaomba wanishushe Makuburi nikapitilizwa kituo kisa walikuwa wana kimbilia abiria kwani zilikuwa gari mbili za mbagala nilipo omba kurudishiwe nauli wakagoma ikawa niugomvi wa abiria wote wakishinikiza konda na dereva gari lipeleke kibangu polis tukatoa maelezo cha ajabu konda na dereva wakaondoka sisi tukalala ndani hadi leo tumepelekwa mbezi polis kwamba tumesababisha upotevu wa hesabu ya siku ambayo ni 420000 je wanasheria naombeni msaada wenu naambatanisha picha ya gari
. Ndg usirudie tena kuomba ushauri, walivyo kushambulia yaelekea jf ina memba wengi wasafirishaji abiria.
 
Hivi ukiswekwa rupango unaruhusiwa kusweka pamoja na simu?just thinking aloud kwani mhusika anatuhabarisha yaliyomsibu yeye mwenyewe,sijui katumia njia mbadala gani hadi kutoa huu uzi
 
kituo cha MAKUBURI ndo kipi? maana napata shida kidogo. gari ya mbagala ikushushe makuburi… !
 
Back
Top Bottom