Kwa mwenendo wa mambo ya ccm sidhani kama kwa mtu mwenxe uchungu na Tz anaweza kushirikina nao ama kuwa nao tena, labda wanaoweza kuwa nao tena ni wale wenye maslahi yao binafsi na kuinyonya Tz tu.
Hizo ofisi huku mnazitaka za nini?? kuna walala hoi huko? na sijaonaga mchango wenu na hizo ofisi zenu zaidi ya kupiga mapicha ya kuuza sura na kujaza michuzi. wabeba mabox mna mambo sana.