Tunatengenezea nishati mbadala, tufunge mjadala jibu sahihi mmepata.Ni yale ya Dhahabu yaliyo zuiliwa na Utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli pale Bandarini - Dar Es Salaam yakitoka kwenye Migodi ya Bulyanh'ulu na Buzwagi inayomilikiwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Barrick.
Yalikuwa njiani kusafirishwa kwenda Ng'ambo ili yakachenjuliwe tena, yapatikane Madini mbalimbali mengine.
Magazeti yaliandika sana na picha za Makontena hayo yakiwa Bandarini,zilitamalaki Mitandaoni.
Baadaye na mpaka leo hii,imekuwa ni kimya,Je ni kipi kinaendela/kiliendelea?
Barrick bado wanaendelea na Uchimbaji wa Dhahabu pale Bulyanh'ulu,Je, Wanaendelea kusafirisha nje Makinikia?
Mkuu kati ya iron na gold metal gani ina melting point kubwa..?hata ukiamua yabaki hapa bado hayana faida yoyote wala tusingefaidika sababu hatuwezi kuyachenjua..
Mzee naona mnataka kuanzisha agenda mumsingizie mama.. swala la makinikia Magufuli alimalizana nalo mwenyewe na yakaendelea kusafirishwa... hata ukiamua yabaki hapa bado hayana faida yoyote wala tusingefaidika sababu hatuwezi kuyachenjua..