Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

Godfrey Lema ndo nani huyo? Au umeamka nazo za jana?
 
nilijua mwelekeo wa uzii huu hasa magamba walipoanza kujitia ushushushu..
 
Mambo ya Chadema ninyi yaacheni yatajitokeza siku moja. Wewe uliona wapi katibu mkuu anafukuza uongozi mzima wa Chama wa wilaya kama alivyofanya Slaa kule sengerema. Uliwahi au hata kusikia katibu mkuu aw Chama kinachojiita cha demokrasia akafukuza diwana uanachama na kupoteza udiwani aw wananchi bila kikao. Kwa mtaji huu lazima CDM kirefu Chake kiwe ni Chama cha dictatorship na maandamamo. Hata Chaga Development. manufesto haikuendeshwa i NGO. Msije mkashangaa yaliomkuta Mrema nccr-m yakatokea Chadema. Tuvute subra.
 

Mkuu Mwita kikao cha CC-CDM kimeisha? Kama kimeisha vipi taarifa ya maazimio au ndio siri? Umemuona Tuntemeke amepitia mgongoni mwa Botilo?
 
Hili la kufukuza madiwani nililisikia nikashangaa. Diwani alichaguliwa na watu hivyo si busara kufukuzwa na maamuzi ya mtu mmoja. Kama katiba ya CDM inampa katibu iwezo huo basi kipengele hicho cha katiba hakifai hata kidogo. Tunapinga katiba ya nchi kimpa rais madaraka makubwa iweje katiba ya Chama impe katibu madaraka ya aina hiyo? Hivi sasa tunapigana watu waliochaguliwa na wananchi wasipoteze viti vyao kwa sababu ya kufukizwa na vikao vya chama kwa kuwa hawa walichaguliwa na watu ambao ni wanachama wa chama cha aliyechaguliwa na wengine siyo wanachama hivyo basi madaraka ya kuwavua uongozi yarudishwe kwa waliowachagua na siyo mtu mmoja kuamua.
 
Kama mbway mbway tu CDM jana almanusura wazichape kavukavu!
 
Mkuu TUMBIRI umetualika kwenye ile thread ya TUNTEMEKE nikawa nataka kupost nikawa denied. Naona Mods wameifuta. Nadhani hii si haki wangeiacha tu tupate majawabu manake Tuntemeke huwa anakuja na vitu vya kujenga japo anaonekana ni msaliti.
 
Last edited by a moderator:
kwa vyovyote inaonekana hali haikua nzuri kwa wapenda mageuzi.!
 
Mkuu Mwita kikao cha CC-CDM kimeisha? Kama kimeisha vipi taarifa ya maazimio au ndio siri? Umemuona Tuntemeke amepitia mgongoni mwa Botilo?

Kimbunga,
Taarifa zitatolewa tu muda si mrefu, ni bahati nzuri au mbaya kwamba hakuna taarifa yoyote iliyovuja ndio maana unaona watu wanahangaika huku na kule hadi kuzusha ya kuzusha lengo lao wapate kujuzwa.

Tuntemeke nimemuona kama kawaida yake. Nimempa changamoto ataje diwani aliyewahi kufukuzwa na Dr. Slaa kwakuwa najua katibu mkuu hana mamlaka hayo lakini hajanijibu na thread imeshapotezwa.

Nimeona na wewe unataka kukubaliana na hoja hiyo, unamkumbuka diwani yeyote aliyefukuzwa chadema na utaratibu gani ulitumika kumfukuza??
 
Mkuu TUMBIRI umetualika kwenye ile thread ya TUNTEMEKE nikawa nataka kupost nikawa denied. Naona Mods wameifuta. Nadhani hii si haki wangeiacha tu tupate majawabu manake Tuntemeke huwa anakuja na vitu vya kujenga japo anaonekana ni msaliti.

Kimbunga,
Ile thread ya TUNTE content zake hazikuwa reliable ndiyo maana imefutwa. Kwanza alijikanyaga kwenye pale alipotaja jina la Mbunge ambaye hajawai kuwepo bungeni eti GODFREY LEMA! Pili anasema Kamati Kuu imemalizika Saa nane usiku wakati ni Uongo na Uzushi. Tatizo TUNTEMEKE anachokosea ni kushindwa kuzipeleka tuhuma zake kwenye Vikao husika vya chama na kuigeuza JF kama Kamati Kuu ya CDM!
 

nimekuwa mpinzani wa Tuntemeke il leo hii naweka bayana kuwa mengi anayoandika uyu mtu ni ukweli mtupu...kikao cha kamati kuu ni kweli kilimalizika saa nane usiku labda wewe ndugu yangu ndo hauna taarifa kamili,kuna jinamizi limemuingia docta slaa,mimi sio ccm au mamluki ila ni mwanachama hai wa cdm..dr slaa asipobadilika hakika cdm itakufa maamuzi ya kufukuza viongozi kwa maneno ya kusikia pembeni yatatugharimu wanacdm.Tumuombee sana dr slaa i real mean it!!
 

wengi waliokuwa kikaoni wameshindwa kutunza siri za kikao ndo maana ishu zimevuja tayari,na hii ni dhahiri wameshindwa kuvumilia matendo ya dr slaa.so unayoona watu wameandika khs kikao ni kweli,molemo ulikuwepo kikaoni na unashangaa jinsi gani watu wasivyo wasiri,hapo mjue ya kuwa maji yamewafika shingoni.
 
sredi ya Tuntemeke imefutwa tayari..

Ama kweli Slaa ni 'mungu' wa Chadema.
 
Basi Nape Leo umelifakamia Jamvi kweli kweli Na ma I'd yako mengimengii.. Nadhani hapo mezani umepanga Kama laptop tatu nne hivi.. Unatupa mashambulizi as if JF ndio CC ya CDM.
Kuna kitu nikwambie kwenye uchaguzi mkuu wa Rais Na Wabunge TZ , mwakani 2013 (manake Ccm 2015 haitafika) watanzania Wote hata wana CCM Wenyewe ukiwemo wewe hamtakipigia Kura CCM.. Hatakama CDM Haitakuwepo wananchi WOTE (i mean WOTE isipokuwa misukule ya chama )watapiga Kura zao UPINZANI in any leaf Party..
 

kama hali ndoo hii sio chama cha siasa hicho. genge la ukahaba na uzinifu tu
 
Kuna haja ya kuhoji viti maalum walipatikanaje? isije kuwa kuna kaharufu ka karushwa kangono tukapoteza mabinti na mama zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…