Yakikufika haya utafanya nini?

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Mkeo anarudi nyumbani kavimba vibaya usoni, unamuuliza anakujibu kuwa kakutana na vibaka wamemvamia na kumpiga, lakini ukimcheki kwa makini unakuta kila kitu chake amerudi nacho na kiko salama. Unaanza kupeleleza, unagundua kapigwa na β€œmchepuko” wake. Unaoneshwa mchepuko huo, nawe unakwenda moja kwa moja (straight) kwa huyo jamaa, unapomuuliza anakujibu kama ifuatavyo:

"Bro, mimi yule ni mpenzi wangu wa muda mrefu hata kabla hujamuoa, tuna miaka mingi ni wapenzi wa siku nyingi sana. Mimi nakujua wewe kuwa huyo ni mkeo, ulimuoa wakati mimi sina uwezo kifedha, lakini hatukuwahi kugombana, tumeendelea na mapenzi muda mrefu. Na hata watoto unaodhani ni wako, mimi mwenyewe tulipanga majira, sasa yawezekana nami yupo wangu, kwani huwa natoa matumizi ya mtoto mmoja yule Jenerose. So kuwa na amani, nakufahamu vema.''

"Lakini kilichoniuma sana mimi ni kwamba huyu mwanamke mshenzi, nimegundua ananicheat mimi, anatembea na njemba fulani, so iliniuma sana, nilitamani sana ufahamu hili, lakini ningewanzaje kukwambia wakati wewe hujui kama mimi mkeo ni mpenzi wangu. Mimi sina tatizo na wewe, na hata akiniambia jana mmefanya sijali, lakini kwanini atembee na mwanamume mwingine tofauti na sisi (wewe na mimi)? Kwahiyo kweli nimemfumua hayo makonde, tena kajikanda hapa.

"Amebadilika sana huyu mwanamke, amekuwa na tabia chafu sana siku hizi, haiwezekani nichangie na mwanamme mwingine kwa mtu ninayempenda. Wee mwenyewe hujui tu ninavyoumia”

Swali:
Kama ndiyo wewe utafanyaje? Utaanza na huyo jamaa au utarudi mdogomdogo kwa mkeo? Je utamfanya nini mkeo?
 
Kizuri kula na nduguyo ndio alichofanya huyo Njemba (mchepuko wa mkeo), wewe na yeye ni waume pendwa wa mke wenu kwa sababu umeshajua wewe una mtoto na jama ana katoto kamoja anakahudumia cha muhimu hapo mchukue jamaa mkae pamoja mumlee mke wenu na watoto zenu,

Yaani muwe mmeoa mke mmoja nyie muwe mabwana Mitara. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Nb.
ila mke wenu kiboko ana mabwana 2 na bado anachepuka kwa mwingine?
 
Utoto raha sana
 
nakumbuka tukio la kenya, mwanamke ameolewa na wanaume wawili na wao wapo fresh tu. ila katika case hii, itakusumbua akili lakini best option ni kujitoa katik mapigano yasiyo na faida piga chini
 
Ujanani kabla ya kuoa hizi fikra huwa nyingi sana
 
Unatakiwa kuanza na huyo Mke wako yeye ndiye mwenye makosa.
 
Na papuchi yake iko kama mfuko...inajulikana tu...yaani mwanamke anachakazwa kiasi ambacho hata malaya hafanywi hivyo...yaani watu watatu wote wanaimega papuchi moja...tena frequently...
 
MWANAMKE WA AINA HIYO ANAJULIKANA TU...

NA HANA TOFAUTI NA MWANAMKE ANAYEPIGWA MTUNGO...NI MVUMILIVU SANA MWANAMKE WA AINA HIYO...

CHUKULIA ASUBUHI AMEWEKA MIADI NA HUYO NJEMBA USIYEMJUA...KAENDA KUSUGULIWA WEEE MPAKA SAA 5...ANAAGA ANASEMA...MARA HUYO MCHEPUKO UNAYEMJUA Γ€NAMPIGIA EMERGENCY AENDE GETO AKAMUONE...KUFIKA KULE...JAMAA NAE ANATAKA MZIGO...KWA KUWA NI WA ZAMANI NA ANAONEKANA ANAMPENDA SANA...HUYO ATAMPA PAPUCHI MPAKA SAA 2 ATABURUZWA WEEEEEE MPAKA IPATE MOTO...

ATAAGA ATAONDOKA KURUDI KWAKE..AMECHELEWA...BAHATI MZURI AMEKUKUTA MUMEWE HAUPO...ILA UNARUDI NA MZUKA WAKO UNA SIKU MBILI HUJAMGONGA...UNATAKA MCHEZO HAPO PUMZIKA YAKO NJIANI...

MUMEO NAE ANAMALIZIA MAKOMBO YA SIKU...MWANAMKE ANA LAANA HUYO ACHANA NAE...
 
nakumbuka tukio la kenya, mwanamke ameolewa na wanaume wawili na wao wapo fresh tu. ila katika case hii, itakusumbua akili lakini best option ni kujitoa katik mapigano yasiyo na faida piga chini
Hili hapa wanaishi swadakta kabisa....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…