akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Nimeiona kwa picha tu, naomba kujua , ina milango ya nyuma pia au ndio dereva ashuke ndio mwingine apande? Maana so fat sijaona ile handle ya lufungulia mlanho wa nyumaukiipata vezel utaenjoy sana kwanza hybrid system ya honda kwa ujumla ni bora na hainaga vipengele kama toyota. nina vezel oya hii gari ni tam sanaaaa
handle zipo kama za nissan jukeNimeiona kwa picha tu, naomba kujua , ina milango ya nyuma pia au ndio dereva ashuke ndio mwingine apande? Maana so fat sijaona ile handle ya lufungulia mlanho wa nyuma
Vipi matumizi ya mafuta kwa mjini?handle zipo kama za nissan juke
20-25 kmlVipi matumizi ya mafuta kwa mjini?
Duu! Imezidi hadi Prius gen 3. Kwa hiyo mkuu full tank kwa mjini unapiga 800km-1000km.20-25 kml
Duu! Imezidi hadi Prius gen 3. Kwa hiyo mkuu full tank kwa mjini unapiga 800km-100
Vezel haiwezi kuizidi Prius labda prius iwe na shidaDuu! Imezidi hadi Prius gen 3. Kwa hiyo mkuu full tank kwa mjini unapiga 800km-100km.
full tank huwa natembea 700-750km inategemea na gari nmeitumia vipi mana unaweza nasa foleni 2hrs hapo lazima hesabu ivurugike inaweza soma hata 12kmlDuu! Imezidi hadi Prius gen 3. Kwa hiyo mkuu full tank kwa mjini unapiga 800km-100km.
minimum niandae kiasi gani kupata Honda Vezel kutoka Japan?full tank huwa natembea 700-750km inategemea na gari nmeitumia vipi mana unaweza nasa foleni 2hrs hapo lazima hesabu ivurugike inaweza soma hata 12kml
Za miaka ya nyuma ~2014 sio za moto kama za ~2017 walivyofanya facelift.minimum niandae kiasi gani kupata Honda Vezel kutoka Japan?
Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.Za miaka ya nyuma ~2014 sio za moto kama za ~2017 walivyofanya facelift.
Za nyuma below 25 Mil unapata.
Ngoja nikupe homework. Kwanza kasome tofauti ya Model code RU na RV.Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.
Prius ukinunua mwanao anakuja kutumia kama ukiwa unafanya service ontime. Hafu kwenye wese Prius utasave zaidi.Kaka hii gari ushuru wake nimeona ni 17m, 25m inawezekanaje? kama naweza kuipata kwa chini ya 25m ngoja niachane na prius tu.
RU ni model code ya First generation Vezel na RV ni model code ya Second Generation.Ngoja nikupe homework. Kwanza kasome tofauti ya Model code RU na RV.
Hafu kacheki ushuru wa RU3, RU4 za 2016 (hizi Mil 14, hapa zimepanda zilikua 12).
Naam mkuu. Uzuri gen 1 na gen 2 tofauti ndogo sana so ata gen 1 bado kali tu.RU ni model code ya First generation Vezel na RV ni model code ya Second Generation.
RU 1 and 2 ni non hybrid wakati RU 3 and 4 ni hybrids
RU 3 ni 2WD wakati RU 4 ni AWD.
Kweli kaka nimeona hizi zina 14m ushuru.
Vezel naona imekaa unyama ukilinganisha na bei yake. Najichanga hapa kuagiza sasa kwenye list yupo huyo Vezel na Outlander ya kuanzia 2013 body yake naielewa.PureView zeiss acha uchawi.
Huu mwaka ilikua inakuja EV izo hybrid basi tu umasikini ila EV au REEV ndio habari ya mjini.
Sasa napambania Insight au Vezel.
Achana na Outlander. Ishi na Vezel.Vezel naona imekaa unyama ukilinganisha na bei yake. Najichanga hapa kuagiza sasa kwenye list yupo huyo Vezel na Outlander ya kuanzia 2013 body yake naielewa.
Sema vezel anajichukulia points nyingi zaidi kwa sabab ya hybrid.
Kama fuel efficiency ndio kigezo cha kwanza mfikirie na Prius, Aqua ingawa watu hawazipendi muonekano ila mafuta vinanusa.Nimekusoma mtaalam.
Thanks
Body look, hazina muonekano mzuri. πKama fuel efficiency ndio kigezo cha kwanza mfikirie na Prius, Aqua ingawa watu hawazipendi muonekano ila mafuta vinanusa.
Basi komaa hapo hapo. Sure Vezel ni mini-CX5 au tuseme ni CX-3Body look, hazina muonekano mzuri. π
Vezel ni kama Mazda CX 5 au Nissan Duals, zina muonekano mzuri kwa nje