fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 230
Wasalaam wana JF, mitikasi ya maisha zipo poa..!?
Baada ya matumizi ya muda mrefu ya condom nimebadilisha uamuzi na kuamua kuachana nazo kabisa.
Sababu zikiwa ni hizi zifuatazo:
Baada ya matumizi ya muda mrefu ya condom nimebadilisha uamuzi na kuamua kuachana nazo kabisa.
Sababu zikiwa ni hizi zifuatazo:
- Zina fanya tendo kuwa halina msisimko na kuchelewesha ejaculation.
- Plastics na mafuta yenye kemikali yatengenezayo condoms huleta madhara mengi mwilini likiwamo swala la saratani na kuchochea upungufu wa nguvu za kiume.
- Nilipenda kuzitumia kama kinga ya mimba zisizotarajiwa ila mara kwa mara ni bahati ndio ilikuwa inanitokea mwanamke hapati mimba. Wanawake niliokutana nao wengi walikuwa watundu kitandani hasa hawa madada wa kipwani. Yaani wakinogewa hutumia kucha wanazopenda kufuga kuzitoboa condom. (rejea matumizi ya kucha kwa mwanamke aliefundwa tendo la ndoa), Mwisho wa gemu unakuta condom ipo kama pete katika uume na umeacha mbegu ndani. Its very risky using condoms as pregnancy preventives.