Haya sasa wale wapenzi wa AC , utamu wake huu hapa. Chooni AC gari Ac, ofisini Ac..
"Spending most of the time in AC environment could lead to lower immunity because, lack of free supply of oxygen hinders with normal functioning of white blood cells that fight bacteria. Moreover, lack of free supply of oxygen tends to increase blood pressure and heart rate since the body has to work that much harder to acquire oxygen in an AC environment"
Aliyekwambia A/C inazuia oxygen ni nani?? Kwa taarifa tu ni kwamba AC huwa inabadilisha hewa iliyoko ndani mara kadhaa kwa saa kulingana na ukubwa wa chumba na uwezo wa AC. Wataalamu wanaita 'air changes per hr'. Usiwajaze watu hofu za bure
ukifa hutajua umekufa na nini, waluiobaki ndio wanajua..
Acha uongo, kwenye makabrasha ya Ac umeandikiwa usiache mtoto au Mzee kwenye AC kwa muda mrefu hasa wagonjwaa wanaelekeza kufungua madirisha kila baada ya muda kuongeza oxygen na ikikupiga hasa usiku umelala Moyo lazima uende mbio. CHEZEA AC weye. Ushahidi huu hapa sina hamu nayo.
Nitake radhi kwani sijasema uongo.
1. Grade one wards kwenye hospitals ni AC Full
2. Ili AC iwe effective inabidi vyanzo vyote vya kuingiza hewa kwenye chumba vifungwe. Jaribu kufunga milango yote na madirisha alafu ulale hadi asbh bila kuwasha AC. Ukishaamka utuletee majibu hapa.
3. AC ina filter inayozuia vumbi na uchafu kuingia ndani. Filter hiyo haizuii oxygen. Kwahiyo aliye ndani anapata hewa safi yenye favourable humidity at comfortable temperature.
4. Ukitaka kujua ufanyaji kazi wa AC kwa undani ni-PM
Hakuna cha PM wala president,tiririka hapa hapa kwa manufaa ya wengi!!!!