EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Stupid his faith stupid his dreams stupid his supporters stupid his ideologyNotwithstanding ongoing Egyptian-brokered ceasefire talks with Israel, Hamas leader Yahya Sinwar claimed his terror group was capable of forcing Israelis to flee Tel Aviv.
By World Israel News Staff
The Hamas terror group’s Gaza-based leader Yahya Sinwar claimed Saturday his forces would inflict serious losses on Israel if Egypt’s current efforts to broker a ceasefire with the Jewish state fail and war breaks out.
“If the Gaza Strip is dragged into war, Israel will suffer. It will not only have to evacuate the communities around the Strip, but also Ashdod and Ashkelon and even Tel Aviv,” Sinwar commented to Gaza officials, reported Times of Israel.
Sinwar’s comments arrive as Egypt continues to try to coax the terror group into a truce with Israel.
While Sinwar just a day earlier claimed talks were progressing, he commented to Al-Aqsa TV on Saturday, “Our fingers are on the trigger and they will remain pressed against it in order to protect our people. We will be the sword and shield.”
For the past year, Hamas has orchestrated massive violent riots on Israel’s border with Gaza on a weekly basis, during which Gazans shoot at IDF troops, hurl Molotov cocktails, plant IEDs, attempt infiltration, and launch airborne incendiary devices into Israeli territory.
The “March of Return” riots have been accompanied by Hamas’ conventional tactic of rocket attacks on Israeli civilians, which have injured children and killed one Israeli during the past year.
Hawa jamaa wanajiamini wanachokitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watoto wa kijakazi ni washenzi mtoto wa mchepo huwa harithi..Notwithstanding ongoing Egyptian-brokered ceasefire talks with Israel, Hamas leader Yahya Sinwar claimed his terror group was capable of forcing Israelis to flee Tel Aviv.
By World Israel News Staff
The Hamas terror group’s Gaza-based leader Yahya Sinwar claimed Saturday his forces would inflict serious losses on Israel if Egypt’s current efforts to broker a ceasefire with the Jewish state fail and war breaks out.
“If the Gaza Strip is dragged into war, Israel will suffer. It will not only have to evacuate the communities around the Strip, but also Ashdod and Ashkelon and even Tel Aviv,” Sinwar commented to Gaza officials, reported Times of Israel.
Sinwar’s comments arrive as Egypt continues to try to coax the terror group into a truce with Israel.
While Sinwar just a day earlier claimed talks were progressing, he commented to Al-Aqsa TV on Saturday, “Our fingers are on the trigger and they will remain pressed against it in order to protect our people. We will be the sword and shield.”
For the past year, Hamas has orchestrated massive violent riots on Israel’s border with Gaza on a weekly basis, during which Gazans shoot at IDF troops, hurl Molotov cocktails, plant IEDs, attempt infiltration, and launch airborne incendiary devices into Israeli territory.
The “March of Return” riots have been accompanied by Hamas’ conventional tactic of rocket attacks on Israeli civilians, which have injured children and killed one Israeli during the past year.
Hawa jamaa wanajiamini wanachokitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watoto wa kijakazi ni washenzi mtoto wa mchepo huwa harithi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Abramu hakuwa mchepuko lakini kwa IBRAHIM ni mchepuko tu!Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Kwa Abramu hakuwa mchepuko lakini kwa IBRAHIM ni mchepuko tu!
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]Haya wewe jitamkie maneno ya kashfa na ya kishabiki kwa Nabii wa Mungu!. unachokifanya unamsingizia uzinifu nabii wa Mungu, unajua consequence zake au unajitamkia tu?
netanyau ndo analia lia sana,kutwa kiguu na njia kutafuta usaidizi wa kijeshi wa wamarekani na warusi,bahati ulaya washamsoma sikuhizi hata hawamjaliHalafu wakitandikwa wanaanza kulialia mbele za kamera ili dunia iwahurumie pathetic
Awe mkewe maana ya kulala nae halafu mbona umesoma kipandeManeno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Akiwaogopa HAMAS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]netanyau ndo analia lia sana,kutwa kiguu na njia kutafuta usaidizi wa kijeshi wa wamarekani na warusi,bahati ulaya washamsoma sikuhizi hata hawamjali
MwanzoManeno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Mwanzo
16:1-9
16 Sasa Sarai, mke wa Abramu, hakuwa amemzalia watoto wowote;+ lakini alikuwa na mjakazi Mmisri na jina lake lilikuwa Hagari.+ 2 Ndipo Sarai akamwambia Abramu: “Tafadhali sasa! Yehova amenifunga nisizae watoto.+ Tafadhali, lala na mjakazi wangu. Labda ninaweza kupata watoto kutokana naye.”+ Basi Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.+ 3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.+ 4 Basi akalala na Hagari, naye akapata mimba. Wakati alipojua kwamba ana mimba, ndipo bimkubwa wake akawa mtu wa kudharaulika machoni pake.+
5 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Jeuri niliyotendewa na iwe juu yako. Mimi nilimtia mjakazi wangu kifuani pako, naye alipojua kwamba ana mimba, akaanza kunidharau machoni pake. Yehova na ahukumu kati yangu na wewe.”+ 6 Ndipo Abramu akamwambia Sarai:+ “Tazama! Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako. Mtendee yaliyo mema machoni pako.”+ Basi Sarai akaanza kumfedhehesha hivi kwamba akakimbia kutoka kwake.+
7 Baadaye malaika wa Yehova+ akamkuta kwenye chemchemi ya maji nyikani, kwenye chemchemi iliyo njiani kuelekea Shuri.+ 8 Naye akaanza kusema: “Hagari, mjakazi wa Sarai, umetoka wapi nawe unaenda wapi?” Naye akajibu: “Mimi ninakimbia kutoka kwa Sarai bimkubwa wangu.” 9 Na malaika wa Yehova akaendelea kumwambia: “Rudi kwa bimkubwa wako ujinyenyekeze chini ya mkono wake.”
AMEENDELEA KUITWA KIJAKAZI HATA BAADA YA MIMBA UWAGE UNAELEWA.
Usipotoshe kwa kuchagua kipande kinachokufeva
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Mungu na Sara Ibrahim alipaswa kumtii nani zaidi? Unataka kutuaminisha kile kitendo ni ruhusa ya Mungu??Maneno yako yanamdhalilisha Baba wa Imani, kwa kudai kuwa alikuwa anachepuka , kumbuka Kumsema Vibaya Abraham ni kujitafutia laana.
Hajiri hakuwa mchepuko alikuwa ni mke halali wa Abraham, soma vizuri biblia.
Mwanzo 16:3
"Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe".
Kati ya Mungu na Sara Ibrahim alipaswa kumtii nani zaidi? Unataka kutuaminisha kile kitendo ni ruhusa ya Mungu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu hamsomi maandiko na kutambua nyakati, omba Mungu sana akufunulie kweli zake ukapate kumtambua na kumwelewa vyemaUnakubali kuwa Abraham alimuoa dada yake wa damu, Je Abraham kumuoa dada yake ni ruhusa ya Mungu?