Hemedan New Member Joined Dec 31, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jan 1, 2016 #1 Wakuu naomba kuuliza hivi kama nimejisajiri kuwa mtahiniwa wa kujitegemea Yaan pc form 6. Na siku fanya mtihani huo je naweza tafuta shule kujiunga kama School candidate. Naombeni msaada wenu
Wakuu naomba kuuliza hivi kama nimejisajiri kuwa mtahiniwa wa kujitegemea Yaan pc form 6. Na siku fanya mtihani huo je naweza tafuta shule kujiunga kama School candidate. Naombeni msaada wenu