TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,036 Dec 25, 2017 #1 Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye kufahamu, siku tatu hizi nimekuwa nikijaribu kutuma pesa toka tigo kwenda mpesa lakini process inakataa kuwa namba ya voda si sahihi wakati namba ni sahihi na siku zote nilikuwa natuma pesa bila matatizo
Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye kufahamu, siku tatu hizi nimekuwa nikijaribu kutuma pesa toka tigo kwenda mpesa lakini process inakataa kuwa namba ya voda si sahihi wakati namba ni sahihi na siku zote nilikuwa natuma pesa bila matatizo
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,049 Dec 25, 2017 #2 Unahisi kuna jibu utapata humu zaidi ya kuwapigia wenye hiyo mitandao. Au siku hizi JF imekuwa Customer Care?
Unahisi kuna jibu utapata humu zaidi ya kuwapigia wenye hiyo mitandao. Au siku hizi JF imekuwa Customer Care?
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,781 Dec 25, 2017 #3 waone mawakala, (no way out)
TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,036 Dec 25, 2017 Thread starter #4 Naimani watu wa Tigo wapo humu pia yawezekana kuna mtu ame experience hili tatizo, by the way leo sikukuu sidhani hzo ofisi ziko wazi
Naimani watu wa Tigo wapo humu pia yawezekana kuna mtu ame experience hili tatizo, by the way leo sikukuu sidhani hzo ofisi ziko wazi