Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
habari jf,
ningependa kujua kama kuna mtu ana habari juu ya nini kinaendelea huko katika yahoo kwani ni wiki sasa haitaki kuniruhusu ku sign in, kuna mwingine ana-experience the same au ni mimi tu?
Natumia pc siku zote mkuu, sina simu yenye uwezo wa kunipa internet, natumia nokia zile nyeusi mmezoea kuziita obama.ww tu! 2mia pc
Heshima kwako mkuu, sasa nitawezaje kutumia line nyingine ktk modem ya airtel?
mkuu tatizo lako unatumia line ya airtel katika internet. Hawa jamaa huwa wana tatizo kwenye servers zao ambalo linawapa shida users wa yahoo ku sign in wakati password ipo sawa na username iko sawa. Pleae try with line ya voda,zantel na nyingine halafu rudi unipe feedback kama email yako itakataa kusign in mkuu.
Natumia google chrome mkuu,lakini nitajaribu ushauri wako kisha nitakujurisha, nafunga mozilla sasa hivi.ni wewe tu, unatumia browser gani kufungua yahoo na kulog inn? Jaribu browser tofauti na hiyo inayokataa bila shaka itakubali!
Natumia pc siku zote mkuu. karibuKafungue kwa kutumia computer halafv ndo uendelee na simu
Heshima kwako mkuu, sasa nitawezaje kutumia line nyingine ktk modem ya airtel?
mkuu tatizo lako unatumia line ya airtel katika internet. Hawa jamaa huwa wana tatizo kwenye servers zao ambalo linawapa shida users wa yahoo ku sign in wakati password ipo sawa na username iko sawa. Pleae try with line ya voda,zantel na nyingine halafu rudi unipe feedback kama email yako itakataa kusign in mkuu.
Heshima kwako mkuu, sasa nitawezaje kutumia line nyingine ktk modem ya airtel?
mimi pia ilinisumbua kwa muda mpaka nilipobadili nywila ikawa haisumbui tena
Natumia modem ya airtel huawei mobile broadband E173Unatumia model gani ya modem?
Ndivyo alivyonishauri mkuu mwingine hapo juu, amesema pengine ni aina ya modem ninayotumia, ikiwa unatumia airtel na hupatwi na tatizo kama langu, basi pengine mi nitakuwa nasumbuliwa na kitu kingine. kuhusu uelewa wa techs ni kweli mkuu mi uelewa wangu ni mdogo sana na ndiyo maana nikauliza hata hili la kitoto.natumia modem ya airtel na laini ya airtel na ninasoma every day my yahoo mails, unachosema si cha kweli, na inaonekana haupo deep kwa mambo ya techs, anyway umejaribu kushauri kulingana na upeo wako ulipoishia.
Natumia modem ya airtel huawei mobile broadband E173
i use the same model of modem na nasoma emails yahoo/gmail/hotmails , ninachokwambia jaribu kutuumia browser tofauit kufungua email na ninakwambia itakubali!