the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Natumia blackberry 9800 na mara nyingi najiunga blackberry plan ya 500 kwa siku mbili tatizo nikifungua yahoo mail kwenye opera min inagoma na pia nimejaribu kwenye Lg inayorun android pia imegoma inanipa option ya kudownload application ambayo huwa haimaliza inatoa report ya failed,naomba msaaada wana jamvi na wajuzi pia