Mbona yahya kashakuja nenda uzi wa nimemis ban
huyo atakuwa mdogo wake yahya
Ahsante love!
We nae,ndo mana mmeo analala nje.
ndiyo analala nje maana hatuna mlinzi, lazima ailinde mali yake!
Mi sina utani na Bishanga kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Yahaya - Lady JayDee New Music Video 2013 - YouTube
nipo shemegi, si wajua kimbunga tena?!
rabekaaaa
Kaka anakuita.
Yahaya anaishi wapi?
Sijui KINDOROKO vileee, mmh sijui majani mapana..aah naona sekey, hapana itakuwa bhai.
Bwana eee hajulikani aishi wapi YAHAYA