Mmakonde wako hajambo? Nasikia ofisi yake iko kwenye briefcase ndo anafanyia biashara yake ya mbao nchumbiji.
Kwani YAHYA jina lako halisi nani??????!
Mkimjua niambie nimkwepe...
Nikwambie???
...wala makazi yake halisi hayajulikaniKwani YAHYA jina lako halisi nani??????!
afadhali umwambie Bishanga yahaya mkubwa wewe
Mbona yahya kashakuja nenda uzi wa nimemis ban
Nakusikiza kwa uzuri sana....plz du ze nidful
Mhhhh.....ngashituka. Mjengoni basi.
Shemegi hujambo....?
rabekaaaa
Shemeji sijaambo...umepoteaaa