E eldred carl New Member Joined Oct 17, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Feb 19, 2013 #1 Haya matokeo yana onyesha ni jinsi gani hii serekali yetu ilivyo poteza dira kuhusu elimu.
L lancenguno New Member Joined Feb 14, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 19, 2013 #2 Serikali sio ya kulaumiwa watoto wetu na wadogo zetu malezi tunayo wapa hayastahili..kwann wengine wamefaulu kwan shule zao zipo mbinguni?au wanafundishwa na malaika?
Serikali sio ya kulaumiwa watoto wetu na wadogo zetu malezi tunayo wapa hayastahili..kwann wengine wamefaulu kwan shule zao zipo mbinguni?au wanafundishwa na malaika?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,964 Reaction score 13,944 Feb 20, 2013 #3 Serikali na wizara kwa ujumala wake.kari sana jf.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,420 Reaction score 3,051 Feb 20, 2013 #4 Karibu kijana.
Spider JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,641 Reaction score 558 Feb 21, 2013 #5 karibu sana jf