jamani shemeji mbona unakazia hivyo
mi Excel ni bodigadi wangu tu!!
Ha ha ha ha lol.. Sasa ameshachelewa.. Chezea inglishi ya Excel wewe..
sosoliso...!! do you need anything,? lets say any brand new gift in this brilliant year of my love with Passion Lady?Umekula dili wewe.. kiingleza za cha Excel kimekufanya umpigie upatu amchukue Passion Lady lol..
Lady doctor mnacho fanya ni kuvunja sheria za ndoa chit chat .kwanini mna shangilia my akanana kupotea.
KOKUTONA alinkaa?
Oooh Mukama wange! Lady doctor na kukola khiii? my akanana ali nkaa?
Mukame wange! Does'nt enough ! Plus na , Katonda wange!
Kwa hali nilipoiona imefikia .
Ni hivi Loya , siku zote nimekua nakwita "my right hand!"
It means you're my nearest person! Kuzingatia huko tulikotoka!
Majuzi kati hapahapa cc nilifumania eneo flani , na Passion Lady na Bwa mdogo anaekwenda kwa Id Excel nikakuta wanabadilisha love soothin words , obviously nilishtuka .
Eventhough (damu nzito kul.....) sikukubali hali ile niiachie kiuwepesi, nililazimika kuhoji kwa P'lady, majibu aliyonipa inshort yalikua "makavu live"
"Jamaa yako alishanitosa , sijui alihamiaga Siasani, hivyo naongeza ndoa ya pili , nitakua na waume wawili, na huyu mume mpya nampenda sana!"
Hayo ni baadhi ya majibu aliyonipa .
My righthand domo lilinishuka .
Kilichobaki tumsubiri mwenyewe atakuja hapa na kauli gani .
Coz mi bado naamini alikua akifanya mzaha na jockes , she was not serious as well .
ohh really! so you are the one...!! Judgement!!
are you here to judge us mr judger? Passion Lady is my beautiful onyinyeee!!! my iva iva!
and this should be known to all, especially her twin, Lady doctor!!!!!
i know how to treat with care..! not treating with abandoning!!
i personally liked her!! and she introduced me to her daddy! watu8!
then why should i lie my heart?
<strong>If you read me properly you'were recognize me , my roadmap direction about the issue on the table !
Mie sipo hapa kumpangia awaye yeyote personal affairs .
Always i obey it ! Kiniume nini ? Kwani naolewa mie?
Ambacho nimefanya hata wewe ungefanya! Mf. Ukutapo wife wa nduguyo kamtosa nduguyo, utakaa kimya?
Obviously utahoji then ukishapewa returns unashika yako!
Sisi tutakifata atakachokisema mwanamke, thereafter hatuna ugomvi maisha yaendelee .
Kati yenu mwenye atakaekua na bisu kali ndiye ........
Atombwa
Atombwa
niko hapa jembe langu la ukwee!! nipe data! Actually.... upendo wako kwangu umedhihirika sana!
wewe na pacha wako Passion Lady, mnadesrve grants tatu tatu!!
come here queen of my soul, my heart, my everything! my kwaito, my number one.. my ngololo.. switieeee!!!!
Passion Lady!!... NO WOMAN LIKE YOU... NO MAN LIKE ME WILL LOVE YOU IN MILLION TIMES!!
I love you from the bottom...!!
pacha unaunguza picha wallah
mi nipo semina na Excel ni bodigadi wangu
tu!!ruttashobolwa honey wala hujaibiwa!!
hahahaha
shem umenichekesha sana haya majibu yakp
Alaf huyu Lady doctor sina imani nae kabisa.
Ndugu yangu Ruttashobolwa.. akanana wako Passion Lady ana vikoba vya kumwaga.. mie niligundua hilo mapema sana japo alinisaidia kunipa kampani wakati Paloma amesafiri.. Ila nina wasiwasi na Eli79 maana mpaka juzi kati hapa alikuwa nae..