ndo akome... Mi kuanzia leo Excel ndo shemeji yangu maana amesema atanipeleka Ulaya li Ruttashobolwa ye kila siku nikienda kumsalimia pacha angu kwake ye ananikonyeza halafu ananiambia niachane na Arushaone
ndo akome... Mi kuanzia leo Excel ndo shemeji yangu maana amesema atanipeleka Ulaya li Ruttashobolwa ye kila siku nikienda kumsalimia pacha angu kwake ye ananikonyeza halafu ananiambia niachane na Arushaone
Oooh Mukama wange! Lady doctor na kukola khiii? my akanana ali nkaa?
Lady doctor mnacho fanya ni kuvunja sheria za ndoa chit chat .kwanini mna shangilia my akanana kupotea.
KOKUTONA alinkaa?
Kwa hiyo Excel ndio ana husika kumtorosha my akanana.
sasa shemejiiiiiiiiiNdugu yangu Ruttashobolwa.. akanana wako Passion Lady ana vikoba vya kumwaga.. mie niligundua hilo mapema sana japo alinisaidia kunipa kampani wakati Paloma amesafiri.. Ila nina wasiwasi na Eli79 maana mpaka juzi kati hapa alikuwa nae..
mimi nimeambiwa mara ya mwisho alionekana na wewe, alaf huko kwenye vikoba mbona wote wana sema hawafahamu?hivi mbona una nitafuta lakini?
loool my wife wake babe sosoliso!!!!anatumikia kifungo kwa kosa la kugegedwa na shemeji zake!
Ina maana mpaka Arushaone..?
nikweli shemeji mie waala sitaki maneno, umbea, majungu na fitina ndio maana sitaki kusema kuwa pacha angu amefunga ndoa tena na shemeji yangu mpya Excel na wanapendana sana.... Shemeji wala sikuambii chochote maana utadhirai
honey i miss you
i love u,hao wanaokwambia
maneno hawana lolote waongo tu!!
jamani shemeji mbona unakazia hivyoUmekula dili wewe.. kiingleza za cha Excel kimekufanya umpigie upatu amchukue Passion Lady lol..
pacha unaunguza picha wallah
mi nipo semina na Excel ni bodigadi wangu
tu!!ruttashobolwa honey wala hujaibiwa!!
uko wapi sasa?