Yah kupotelewa na mke.

Sijakukimbia swr hat,nipo hapa ila nimevaa kininja nisijulikane ndio maana!

miss you a lot my dear...! unajua nilitoka kidogo kuangalia financial standing ya kampuni yetu mpya,

for sure tumefanya auditing na naona mambo yanaenda vizuri kabisa, now our kids will go to IST!

by the way, you have to propose a new car for this year! si unajua tena sie hatukai na gari kwa mwaka mzima!

love you a lot my heart beat!
 
hivi ujui kuwa kuna uongozi mpya safari hii
wewe muulize vizuri shem wako Lady doctor ndiye mwenyekiti wa mmu, cc pia
halafu toa taarifa kwa mkuu wa wilaya Asprini atawaambia jeshi lake la polisi w
waaanze kazi ya kumtafuta huyo akanana wako ila tambua kuwa Chimbuvu
alisema kuwa anakwenda Arushaone kumkabidhi funguo za LiverpoolFC kwani
alipigwa bao na Arsenal jana na kupachikwa 7-1 na sasa hajitambui amekuwa :A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
sasa who is the owner? you or rutta?
hahahaaa!!! found lost and returned to the owner!

let me think...! mwekundu you are looking for me! dont play with masharubu ya simba!!
 
Last edited by a moderator:
sasa who is the owner? you or rutta?

nyie ndio huwa mnaharibu ndoa za watu!!

sasa aliyekuambia uingie kwenye ugomvi usioujua ni nani??

see now you dont even know the right owner.. yet you suggest the owner!
 
nyie ndio huwa mnaharibu ndoa za watu!!

Sasa aliyekuambia uingie kwenye ugomvi usioujua ni nani??

See now you dont even know the right owner.. Yet you suggest the owner!

hivi kwa nini unaingilia ndoa yangu.
 

ni lini uchaguzi ulifanyika na kumchagua Lady doctor kama mwenye kiti?

Lady doctor si mwenyekiti.
 
Last edited by a moderator:

My akanana Passion Lady mbona sikuelewi.
 
Last edited by a moderator:
why are you fearing facing me? what kind of man are you?

...and you Passion Lady, simpendi mwanamke asiye na msimamo! this rutta is like sobibo! escapeeee!!!!

if you wont do it... i will do you all..!

Hivi wewe mbona una nitafuta sana?
 
Last edited by a moderator:
mi nimeshamsamehe pacha ndo maana namueleza ukweli shem hana swaga na hajui kutunza mke...... Kuna usemi usemao kuwa anaekueleza ukweli anakupenda, mie nampenda shemeji yangu ndio maana namuambia ukweli

We mwananke,we mwananke eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…